Mtazame huyu comedian(Steve Colbert) ana joke kumpima Obama tezi dume,

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Icheki hadi mwisho video....ingawa ni swala la afya kwa wanaume ukishafikia umri kuanzia 40, hapa nadhani nia yao ni kuhamasisha upimaji. Ila sidhani kama huku kwetu anaweza kutokea comedian aka dare hiyo joke!!! Hahaha

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom