Mtaweza FUMBO?

Selekta

Member
Jan 14, 2011
24
9
Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine, mimi nani?...nipe jibu!
 
Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?
 
Binadamu....akiwa mtoto anatambaa...akiwa kijana anatembea....akiwa mzee anatumia fimbo!!
 
Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine, mimi nani?...nipe jibu!
Rahisi kuliko maelezo!
Wewe ni CUF: Uhai wako unategemea itikadi zako za udini, na uhai wako wenyewe hutegemea uhai wa CCM, aha ha ha ha easy!
 
Ni binadamu,utotoni anatambaa kwa mikono na miguu,utu uzimani anatembea kwa miguu miwili na uzeeni anaongezea mkongoja

Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom