selecta........!Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine, mimi nani?...nipe jibu!
Wewe ni selekta. Haya nipe zawadi yangu.
Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?
Rahisi kuliko maelezo!Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine, mimi nani?...nipe jibu!
Rahisi kuliko maelezo!
Wewe ni CUF: Uhai wako unategemea itikadi zako za udini, na uhai wako wenyewe hutegemea uhai wa CCM, aha ha ha ha easy!
ni nini hiyo selekta?
Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?
binadamu....akiwa mtoto anatambaa...akiwa kijana anatembea....akiwa mzee anatumia fimbo!!