Mtawala azibaye midomo ya watu ni mbaya kama shetani

Kwenye andiko hili, ukisimama na fikra huru, ukawa mtumwa wa nafsi yako uloyopewa na Mungu, sidhani kama kuna mahali utapinga.

Kiongozi yeyote anayezuia uhuru wa watu na vyombo vya habari, usijiulize ana maovu gani, itoshe tu kusema ni LAZIMA ATAKUWA KIONGOZI MWOVU.

Kama tunajutia mahali serikali ya awamu ya 5 ilitifikisha, kila asiye mnafiki apiganie kufutwa kwa sheria gandamizi na mabadiliko ya sheria yaliyofanywa na awamu ya 5.

Sheria zote zilizotungwa wakati wa awamu ya 5, na mabadiliko yote, yafutwe kwa sababu zilitengenezwa kukiwa na dhamira mbaya ya kutaka kuwakomoa watu.

Tupate katiba mpya itakayoweka mazingira yanayozuia kabisa mtawala kuuburuza umma na kukiuka misingi ya katiba ambayo Taifa limeweka.
 
Hivi kweli Mwendazake alikua mpigaji?!

Tuamini hivo,. Hapana mimi nitakua wa mwisho kuamini.

Swali najiuliza, mbona nguvu inatumika kuonyesha kua alikua mpigaji?!

Hivi Mwendazake alikufa natural death?!

Hivi mabeberu ndio waliomchukia zaidi?!

Hivi Hawa wanaoonyesha mabaya ya Mwendazake si walikua ndo watekelezaji na watendaji serikali na utawala wa Mwendazake?

Si ni Hawa Hawa walijiapiza muda wake ukiisha aendelee?

Sawa sis, hohehahe huenda ..,...

Lakini fanyeni yote Ila

Msituguse sisi machinga,miradi aliyoianzisha marehem ikamilike, Ndege zetu mzilinde, madini yetu yasiibiwe na nidham kazini itamalaki la sivo nayaona yakitokea yale ya mama SU!
 
Hii ripoti ya CAG imetuonyesha,kutufundisha na kutuonya kuwa tunahitaji taasisi imara na siyo mtu mmoja mwizi na fisadi anayejidai na kujinadi imara.

You must be a slow learner kama sasa ndo unajua tunahitaji taasisi imara badala ya mtu.

Ripoti ya CAG inatoka miaka yote na dosari hizi hizi ila hamna kinachofanyika wala uwajibikaji. At this point ripoti za CAG ni useless.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom