wataiua CUF lakini hawataua fikra za mageuzi..Mwenyekiti wa mpito, Mtatiro, unajifunza nini ? Nimesema bila kutumia mahakama ili itoe haki, mkizubaa muda unakwenda, CUF -Maalim is dead. Unaona CCM ni ile ile, !
Kwa nini asiamue kwenda NLD, maana ni sehemu ya UKAWA pia.To me Mtatiro has got nothing to lose, he is still very young and educated, ana amini katika UKAWA and hence any time akiamua kuja Chadema au NCCR- Mageuzi still atapeta.
Sio kila tukio lazima likufundishe, Matukio mengine yapo kwa ajili ya kuwafunza wengineTo me Mtatiro has got nothing to lose, he is still very young and educated, ana amini katika UKAWA and hence any time akiamua kuja Chadema au NCCR- Mageuzi still atapeta.
Una maana gani na fikra za mageuzi?wataiua CUF lakini hawataua fikra za mageuzi..