Mtatiro: Umefanyika Wizi wa shilingi milioni 369, mali ya chama cha wananchi CUF

Hivi CUF mnafanya nini hapo mlipo? Kwa nini msiliue hili jingajinga hili? Hili ni la kumwaga matumbo hata kama liko katikati ya watu. Na hizi benki zetu nazo zinaruhusu fedha nyingi hivyo kuhamishiwa kwenye akaunti ya mtu binafsi bila vielelezo? Na hii serekele njinga hii inaruhusu utakatishaji fedha? Halafu eti tunaambiwa mahakama ya mafisadi imekosa watuhumiwa, kwa nini msajili wa vyama asipelekwe huko kwa kushiriki utakatishaji fedha? Halafu kuna matutusa eti tunanyoosha inji, hovyo kabisa!
Mkuu umenigusa, tukikumbushana ni kwamba nimesikia leo wakisema kwamba uhaba wa fedha mtaani unaisha sooner. Huenda ndio pesa zinaingizwa kwenye mzunguko labda kwa staili hii! Sehemu hii ya dunia inasikitisha.
 
Serikali ya Magufuli inabariki utapeli na wizi wa namna? "Niombeeni" kwa lipi hasa! Serikali ya kinafiki sana hii kutokea . wananchi wanakufa njaa huku, lakini watu wajinga wajinga wanagawana Pesa bila kufuata taratibu.
 
Wakati mwingine unaweza kwenda mbali na kupendekeza n bora hz ruzuku za vyama vya siasa zifutwe tu, kwangu mm pia zimechangia sana kuleta wanasiasa uchwara na utitiri wa vyama vya siasa visivyo na tija kabisa kwa maendeleo ya mtanzania.....
 
Unataka tukusaidie kutunga katiba ya chama chenu?
Hapo tu mmeshindwa kudhibiti vimilioni hivyo, je mnepewa nchi ?
 
Regime hii imekuwa ya kihuni kuliko hata nilivyotarajia. Mbona iliyopita hatukuyaona mambo yakipuuzi kama haya? Hapa pana mkono wa mtu kabisaa! Thi is bullshit political blackmailing!!
Kwani kazi zinafanywa na mikono ya shetani?
 
SERIKALI YAJIIBIA...
SASA YAGEUKA HAPA UFISADI TU
YAFANYA UFISADI ATI YAKOMOA
HUU NI WIZI LAZIMA WOTE WAWAJIBIKE...NI UCHAKUCHUAJI WA PESA ZA UMMA ...SERIKALI IWAJIBIKE
 
Daaaah!!!!!!! Kama taarifa hii ni ya ukweli, hapa pana jinai ya kijinga sana kwa watu wasomi hii ni aibu kubwa
 
Kazi ndio kwanza imeanza. Hivi inawezekanaje kwa akaunti ya mtu binafsi ambaye akaunti yake haiko busy (kwa mujibu wa Julius Mtatiro), kuweza kuweka milioni zaidi ya 300 bila kushitukiwa na kisha kuzitoa taslimu bila kuwekewa vigingi ndani ya siku moja? Nauliza tu!
 
Habari hii inasikitisha sana na kwa vile inahusiana na Mtatiro huenda ikawa na ukweli mkubwa. Magdalena Sakaya alitaka uspika ati!!!
Tufike mahali tufukiri zaidi, mtu kaonyesha movement ya hela kwenye accounts namba na majina husika sasa unataka ushahidi gani zaidi????????? Vile vile tarehe na muda na matawi ya benki husika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi nilishasema watu wakanishambulia. Magu hana ubavu wa kupambana na ufisadi.


KINACHOENDELEA SASA NI USANII WA SIRIKALI CCM KUPUMBAZA WATANZANIA

As long as CCM ipo madarakani RUSHWA na UFISADI haUwezi kutokomezwa
Hapo ni kuku kala mayai yake. Mtamlaumu Magufuli bure!
 
Back
Top Bottom