comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Julius Mtatiro naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi Cuf na mwanasheria nguli amesema uhakiki wa vyeti usiwalenge watumishi wa umma tu bali pia uende kwa wanasiasa kuanzia wabunge, madiwani, mawaziri, wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa, amesema wanasiasa ndio wanaofanya maamuzi ya kinchi ndio wanaosaini mikataba sasa ukimuacha mwanasiasa feki na vyeti feki maana yake wanaweza kusaini mikataba kwa lugha ya kiingereza visivyo kwa maana mikataba ya kimataifa inakuja kwa lugha ya kimataifa hii inapelekea wanasiasa kukubali mikataba isiyo na tija na nchi,aidha, Mtatiro amesema uhakiki huo uanzie kwa wanasiasa shina, tawi,wilayani , mkoani na hadi ikulu kwa wote bila kubagua watu hiyo ni "double standard"ambayo sio sahihi wala haki.
ITV Mubashara
Malumbano ya hoja.
ITV Mubashara
Malumbano ya hoja.