Mtatiro: Madaktari waliomwangukia JK ni wasanii

Mtatiro chunga kauli zako wewe ni kiongozi kwenye jamii. Siasa za kiharakati za vyuoni usizihamishie kwenye hali halisi. Madaktari hawa wana akili zao timamu wametafakari kwa kina juu ya mgomo wao na kugundua kuwa wanaoathirika ni watanzania wenzao hivyo kwa busara wameamua kuomba radhi, tatizo liko wapi hapo?

kwani wanachi wameathirika! wanaathirika! na chini ya magamba wataendelea kuathirika?
 
watakuwa wamelipwa na cashier ridhiwani..anatembea na fuko la pesa dogo..haya mambo ya mtoto wa rais kukwapua hazina ya taifa tunayasikiaga kwa madikteta wa africa magharibi..
Duh mkuu ilo la kutembea na fuko la pesa ndio zake umetisha....jf sooo
 
"Matokeo ya shule ya msingi yatangazwaa,shule ya msingi janja janja yaongoza,yafaulisha wanafunzi wote"
««««««««»»»»»»»»»»
Janja ya ccm kwisha jua.
 
watakuwa wamelipwa na cashier ridhiwani..anatembea na fuko la pesa dogo..haya mambo ya mtoto wa rais kukwapua hazina ya taifa tunayasikiaga kwa madikteta wa africa magharibi..

Wakati CCM inaundwa Kikwete ndio alikuwa amemaliza chuo kikuu miaka miwili kabla, na yeye alikuwa ni mtumishi wa ngazi za chini katika hicho chama; inashangaza kuona kuwa watu wazima waliohusika na uamzishwaji wa hiki chama leo hii wanaona ukoo wa kikwete wanakifanya chama kama vile no mali yao na kufanya kila wanalotaka bila ya watu kuwakemea!! Itakuwaje leo mtoto wa Rais ajifanye na yeye ni Rais wa nchi pia na watu wakakaa kimya wakati mali za nchi zinahujumiwa kwa jina la chama? Kuna umuhimu wa watu kuwa na ujasiri wa marehemu Rajab Diwani na Masudi Mtandika na kuhoji tabia ya mwenyekiti kukifanya chama mali ya ukoo wake!!
 
ajabu bado wananchi wanaichagua ccm kwa kishindo kwa kura za ndio
 
Kwa wenye mioyo ya njiwa + propaganda za kisiasa + njaa + kudhani kwamba mapambano ni sawa na mchezo wa kitoto wa kujificha = walichofanya! Ila mapambano ya kweli yanaendelea na madaktari wenye madai ya kweli wameshatoa tamko.
 
Msafara wa mamba, kenge hawakosekani. Kazi kwenu madaktari kama mmeridhika na hatua ambazo so far serikali imezichukua kuhusiana na madai yenu especially lile la kuboresha mazingira bora ya huduma za afya (maana hili linanigusa moja kwa moja).
 
Back
Top Bottom