Mtatiro: Lipumba kufukuza wakurugenzi ilikuwa ni maagizo kutoka kwa msajili ili aweze kumpa ruzuku

Yan huyu Msajili wa vyama kwann anaingia kwenye mambo ambayo yanamfedhehesha sana
 
MAMBO YA KITOTO HAYA,NI AIBU KUFANYWA NA WATU WAZIMA,WANAOJIITA WASOMI /
HATA KUPANGA FICTION ITAKAYOFANANA NA UHALISIA INASHINDIKANA?/ SHAME SHAME SHAME....
 
Hivi huyu jaji kama kwenye umati wa watu tu ameamua kuonyesha udhaifu wake na makando kando yake yakila namna?
Ni vipi kwa zile kesi alizokuwa anazisimamia nakuzitolea hukumu KABLA YA NAFASI HII ALIZIAMUA KWA HAKI?
 
Bona hawa jamaa wainaiga siasa za chadema,za uzushi eti "habari tunayo"intelijensia yetu imegundua" ili kuwalaghai wanachama, go ahead professa speech zako zineleweka humshambulii mtu unafuata KATIBA ya chama good job.
 
Isije Ikawa tunamlaumu huyu Jaji,,kumbe wakulaumiwa zaidi ni aliepo nyuma yake ambae anamuagiza hayo anayoyafanya yote,,,siamini kama haya anayafanya yeye kama yeye tu,,,,,,ni aibu kwa kweli,,,kwani CUF hawawezi kwenda mahakamani kwa hali ilivyofikia
 
Bona hawa jamaa wainaiga siasa za chadema,za uzushi eti "habari tunayo"intelijensia yetu imegundua" ili kuwalaghai wanachama, go ahead professa speech zako zineleweka humshambulii mtu unafuata KATIBA ya chama good job.

alijiuzulu au hakujiuzulu nyie ndo wafazili wa makuundi ya waasi unavitabia vya m23 ina maana hata mwalimu nyerere au lowasa wangeamua kurud ktk nafas zao kulikuwa hakuna tatizo africa bana vita vikianza mnaanza ooo wazungu wameizamini shoo wakat mpo ubongo nusu mnaofurahia ujinga borter alikwambia AFRICAN GIVE THEM GUNS THEY WILL KILL THEM SELVES HAUPO MBALI NA MSEMO HUO.
 
Back
Top Bottom