Mtatiro: Hatua za Bunge, Lipumba na msimamo wangu! Na maajabu ya Bunge na serikali ya CCM

Hii serikali imejipanga kuimaliza CUF kwa kumtumia lipumba,jitu zima lisilo na hata chembe ya aibu!
Nimeamini "sio kila mzee ana hekima na busara maana hata wajinga na wapumbav wanazeeka"
wakati anavunjwa mkono na kuwekwa korokoroni na polisi sultan na mamvi walikuwa wapi!?wakat anapanda mitumbwi kuijenga cuf mlikuwa nae?!
 
Ndugu jiandae kupimwa mkojo!

Ila kwasababu umeandika haya ukiwa nje ya nchi,sheria ya mitandao inaweza kukosa nguvu ila kukamatwa na kuwekea ndani na kupimwa mkojo siku hizi ndio fashion.
bora kama kaandika akiwa nje ya nchi. hapa amewataja mpaka usalama wa ccm na serikali . hii ni vita sasa
 
Licha ya maendeleo jambo lingine la kujivuna popote ni pale unapodhihirisha kuwa umekuwa binadamu na umestaaribaka. Hii haipo hapa kwetu ni jungle war.
 
wakati anavunjwa mkono na kuwekwa korokoroni na polisi sultan na mamvi walikuwa wapi!?wakat anapanda mitumbwi kuijenga cuf mlikuwa nae?!
Wakati anaitelekeza kwa vipande 30 tulisimama na CUF,tukapata mafanikio ambayo CUF haijawahi kuyashuhudia bara!Amerudi na kufanya kazi aliyotumwa,kuibomoa CUF
 
Mtatiro, usicheke kibanzi cha mwenzio hali wewe una boriti, Ndani ya CUF bara were ndio msaliti namba moja uliyekubali kutukika kuvuruga demokrasia ktk mkutano mkuu uliobambikiwa kuongoza, Mgogoro huu chanzo ni wewe uliyejifanya kujua kanuni kumbe umepewa maelrkezo ya kummaliza Lipumba. Niliwahi kukwambia malipo ya uliyofanya ni ghali na historia itaandika. Ushauri nafasi uliyopata kwenda kusoma ndiyo pekee ya kujinasua na hili. Fikiria kuzipigania fikra zako nje ya CUF sababu aliyekutuma kakutana na kisiki cha mpingo, Hats akishinda umewaumiza wengi na hawatakaa kimya wakioshuhudia ukitamba
 
Kwenye andiko la Mtatiro sijaona "uongozi". Mtatiro ndie kiongozi kwa upande wa genge la Maalim Seif but ni mpayukaji na sio kiongozi. Kiongozi ni mpatanishi na anatoa muelekeo...sasa Mtatiro hapo ndio umeandika kitu gani bora uendelee na shule labda unaweza kiwa na busara.

Hatutachoka kutoa ushauri wa bure kwenu. Ni kwamba kuendelea kumsema Lipumba kuwa ni msaliti ni kuendeleza mgogoro wakati wanachama wamechoka na wanataka suluhu ili chama kiendelee kufanya siasa kama kawaida.

Kuendelea kutegemea mawazo ya aina hii ya Mtatiro ni muendelezo wa mawazo yaliyoshindwa ambayo yanapaswa kupuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtatiro awali alikuwa anatuhumiwa BASHITE na anatumika na lumumba ila naye anatuhumu sasa
 
Kwa nguvu anayopewa lipu Akina mtatiro sijui Kama mtamuweza. Lkn kwa kua Mungu yupo ndo atampa hukumu sio Leo lkn hata miaka 15 ijayo.
 
Kwenye andiko la Mtatiro sijaona "uongozi". Mtatiro ndie kiongozi kwa upande wa genge la Maalim Seif but ni mpayukaji na sio kiongozi. Kiongozi ni mpatanishi na anatoa muelekeo...sasa Mtatiro hapo ndio umeandika kitu gani bora uendelee na shule labda unaweza kiwa na busara.

Hatutachoka kutoa ushauri wa bure kwenu. Ni kwamba kuendelea kumsema Lipumba kuwa ni msaliti ni kuendeleza mgogoro wakati wanachama wamechoka na wanataka suluhu ili chama kiendelee kufanya siasa kama kawaida.

Kuendelea kutegemea mawazo ya aina hii ya Mtatiro ni muendelezo wa mawazo yaliyoshindwa ambayo yanapaswa kupuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Mtatiro yuko shule bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni vitu vya kupita tu lipumba hana uwezo hata wa kushswishi mtu mmoja aunge mkono cuf yake feki mimi huwa namuita pfof lip...............mbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo. Seif aanzishe chama chake, kwanza yeye CUF hakua mwasisi bali alikaribishwa na kumpindua Mzee Mapalala.

Ukiua kwa upanga nawe utauawa kwa upanga. Maalim Seif wakati umefika sasa weka shingo watu wachinje.
 
Back
Top Bottom