lipumbavu anao wanachama zanzibar?Sefu hana watu bara.Angekuwa nao angeshachukua ofisi ya buguruni hata kwa kumwaga damu
Mnaomuunga mkono sefu mnapoteza muda na nguvu zenu tu,subirini urais wa mezani anaowaahidi kila siku.
Sefu amekwama,suluhisho akubali kukaa na Lipumba,hakuna jisnsi yoyote atakayoweza kuibuka mshindi hapa