Mtatiro:CHADEMA wanapoteza muda kuitukana CUF

Badala ya Mtatiro kuhangaika na Chadema ni bora amuulize Mkiti wake Lipumba kwanini anataka kugawa nchi vipande vipande kwa siasa zake za Udini wa kipumbavu kama alivyonaswa kwenye hotuba pale Msikiti wa Idrissa
 
Nadhani CUF wangeanza kwa kuonyesha Mfano na nisingetegemea CUF kuwa na Mgombea Huko Arusha kwenye Udiwani na kupeleka Mtu kama Maalim kufanya Kampeni huko.
Na Mbagala vile vile ningetegemea CHadema Wangeiunga mkono CUF lakini ukweli ni kwamba CUF ameanza Chadema wanamaliza.

Na huu Ugomvi mtatiro anajifanya hakumbuki lakini ulianza Mwaka 2005 wakipo kataa kumuunga mkono Mbowe kwenye Uraisi wakati mwaka 2000 Chadema waliiunga mkono CUF.
 
Wingi wa watu katika mikutano haina maana na kura zitakuwa nyingi. Mwaka 2005 tumeshuhudia baadhi ya vyama vikijaza watu mikutanoni mpaka wakahisi wameshinda kumbe watz wana machaguo yao moyon.
 
yani kama kuna mtu alikosea chama

ni huyu mtatiro ni kijana safi

ila amekosea pa kulala pole sana.
 
Wewe Mtatiro mwambie Lipumba ajiuzulu halafu ndo mzungumze kuunganisha nguvu, mdini mkubwa yule hafai kuwa kiongozi
 
Sijajua hoja ya Mtatiro hapa ni ipi! Je anataka kukana kwamba CUF hakipo kwenye mrengo wa Kiliberari? Au anataka kubisha kwamba Vyama vyenye Mrengo wa Kiliberari havitambui haki za Mashogo, na ndoa za jinsia moja? Kama hatakuwa anakataa huo ukweli hapo, basi anyamaze kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha tu hapa. Au nayeye binafsi ni Mliberari? Profesa Lipumba amejipambanua kuwa yeye ni Mliberari ndo maana mpaka leo hajaoa.
 
Dawa ya cdm inachemshwa na watanzania. Mwanzoni nilijua cdm ni mbadala wa ccm lakini walivyolewa sifa mpaka wanazidi kujiharibia. CCM tuliza akili hawa bavicha hawna Uwezo.
 
Dawa ya cdm inachemshwa na watanzania. Mwanzoni nilijua cdm ni mbadala wa ccm lakini walivyolewa sifa mpaka wanazidi kujiharibia. CCM tuliza akili hawa bavicha hawna Uwezo.
CCM hamna chenu mfano mzuri arusha mnapaogopa hata wagombea hamuwanadi hahahaaaaaaa
 
akamuulize kwanza Prof Lipumba kwanini walimsaidia JK 2010 kushinda na walimsaidiaje... ama anapinga hawakumsaidia?
Mkuu....kuna mdau mh. Mohamed Mtoi ametushauri tujadili rasimu ya katiba kwa sasa...tuache yasiyo na tija.....
 
ITAKUWAJE RASMU IKIPITA
2015 CHADEMA HAWAKUFIKA 50% YA KURA NA CCM HAWAKUFIKA 50% YA KURA

hawa mnao watukana ati leberal watakua katikati ya equation kuamua nani achukuwe dola kwenye round ya pili TAKE CARE ulimi ulipoza kichwa. CDM NI kuisogelea cuf na kuondosha tafauti zao .TUMEPEWA VICHWA SIO KUFUGA NYWELE.......
CHADEMA wanajihisi wao ni wateule mbele ya macho ya watanzania si kweli siasa huwezi kua na such confidence kama unajua siasa vizuri. watanzania wanatafautiana ki mtazamo.
 
Back
Top Bottom