Mtatiro atangaza maandamano ya CUF kupinga DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtatiro atangaza maandamano ya CUF kupinga DOWANS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 30, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jukius Mtatiro, Naibu Katibu Mkuu wa CUF ametangaza maandamano hapa Dar ya kupinga kulipwa Dowans.

  Kasema yataongozwa na Profesa, kuanzia Buguruni hadi Kidongo Chekundu ambako yatahutubiwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho.

  yatafanyika tarehe 7 Februari na ameonya polisi kutoyazuia kwa hoja za kiintelijensia.

  Chanzo ITV saa 2 usiku huu.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Mhhh! Kwa polisi na watawala pagumu hapo -- hasa ikizingatiwa yanayotokea huko Tunisia na Misri. Yasije hayo maandamano ndiyo yakawa........
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mie siamini iwapo viongozi wakuu wa kitaifa -- na hasa Jussa na Maalim Seif watakuwapo kuhutubia.

  Jussa ni dam dam na Rostam -- kamwe hawezi kuwapo pale, achilia mbali kutoa hotuba ya kupinga Dowans kulipwa.

  Na kwa Maalim Seif haitamkalia vizuri kupinga kile ambacho serikali ya CCM, ambayo yeye ni mshirika mkuu kwa upande wa Visiwani, imedhamiria kufanya, yaani kuilipa Dowans.

  Lakini mimi nampenda sana Mtatiro, bila shaka anafanya hivyo kimakusudi tu kuwakomoa wawili hao. Namfananisha Mtatiro na Zitto katika Chadema, ingawa huyu Mtatiro anafanya mambo ambayo yana masilahi zaidi ya kitaifa kuliko huyo kijana mwenzake anayeonekana kutekwa na mafisadi.

  Anyway, huu ni muono wangu to which I'm entitled.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Julius nakukubali uko Chama kisicho maskini unapotezwa huko
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nadhani waweza kuwa sahihi; inaweza kuwa vigumu sana kwa CUF kupinga kinachofanywa na CCM kwasababu kwanjia moja au nyingine wao kwasasa ni sehemu ya CCM; ila mbona kuna wanapinga ambao wapo ndani ya CCM kabika kama wakina Mzee Sitta na wengine!!! Tusibiri tuone matokeo tuchangie lakini tusihukumu .
   
 6. m

  mzambia JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Tutaona action ya igp
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tusubiri tuone matokeo, lakini CUF ishagawanyika!!!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nice move..
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  taarifa za kiinteligensia lazima, tena sehemu yenyewe Dar!!
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu unge decleare confict of intrest zako na jussa, hata iwe vipi kwa nafasi ya Jussa hawezi kuhutubia yeye anaongoza kurugenzi ya mambo ya nje au labda aongelee yatakayotokea Misri.

  Hivi kwanini mtu akiwa kiongozi akiongea na mtuhumiwa anakuwa na yeye mtuhumiwa? tuacheni hizo itikadi na tufahamu nini maana ya demokrasia.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Dowans ni tatizo la wa Tanzania wote pesa wanayotaka kulipwa ni kodi zetu wote kila mtu hana haki anatakiwa kupambana, kama CUF wameandaa maandamano ni haki yao kufanya hivyo.
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  :laugh:Intelejensia Mwema ameshaitwa huko magogoni kwenda kupokea Intelejensia ya Ufisadi. Wakijaribu tu, Kikwete by by Magogoni maana hatutoacha kuandamana mpaka Fisadi Kikwete aondoke magogoni:roll:
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  CCM nao wameanza maandamano?
   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  CUF kama bado wangekuwa kama Zamani wangeunganisha nguvu na Vyama vingine, lakini nadhani kuna umuhimu kama CUF wakifanya Dar basi siku hiyhiyo Chadema wafanye Mwanza ama Mbeya ama KIlimanjaro, au kote ili Serikali ijue nguvu ya wananchi ikoje
   
 15. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Poa, wananchi unga maandamano. Pesa zitakazotumika bahati mbaya siyo michango wa wana ccm ni kodi ya wananchi wote, walo na chama na wasio na chama cha siasa, walemavu na hata walowazima nk.
  Hivyo tupinge kwa nguvu zetu zote haya malipo na hata ikibidi kujitoa ktk hati hizo za kimataifa za uanzishwaji wa mahakama ya ICC ili mali zetu nje ya nchi zisijekamatwa kwa kisingizio cha kutowalipoa dowans
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Dowans ni tatizo la wa Tanzania wote pesa wanayotaka kulipwa ni kodi zetu wote kila mtu hana haki anatakiwa kupambana, kama CUF wameandaa maandamano ni haki yao kufanya hivyo.
   
 17. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tutangulize masirai ya Taifa kama kuna chama tasisi watu nk ambaowakotayari kuteteya masirai yataifa tuwaungemkono tusitangulize kejeli hatutafika kulinda kuteteya nihaki yetusote tuondowe dhanapotofu kuwanihaki ya chama kikundi kimoja kidorekimja hakivunji chawa
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Dowans ni tatizo la wa Tanzania wote pesa wanayotaka kulipwa ni kodi zetu wote kila mtu hana haki anatakiwa kupambana, kama CUF wameandaa maandamano ni haki yao kufanya hivyo.
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Re: Mtatiro atangaza maandamano ya CUF kupinga Dowans

  CUF kama bado wangekuwa kama Zamani wangeunganisha nguvu na Vyama vingine, lakini nadhani kuna umuhimu kama CUF wakifanya Dar basi siku hiyhiyo Chadema wafanye Mwanza ama Mbeya ama KIlimanjaro, au kote ili Serikali ijue nguvu ya wananchi ikoje​


  Du nimegundua watu wanatafsiri ni mandamano ya CUF kwa hiyo kama uko CDM au ni wa CCM hutaki kuandamana na kudai Serikali isiwalipe DOWANS kwa nini tupo hivyo?
  Mara Mtatiro na Zitto Watanzania wote tuwe kitu kimoja km Misri km Dar tukasikilize wako watakaowataja wamiliki na nini tufanye. Nimemkumbuka MTIKILA
   
 20. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Go chama la upinzani la kweli go go go please. tupo nyuma yenu na hiyo tarehe 7 feb tutajitokeza kwa wingi. si hivi vichama vinavyotegemea wavaa majoho havina tija wala nia njema na nchi hii. Go CUF Go Haruna Go Seif Go Ismail Go Julius Go watanzania wapenda amani na wenye uchungu na nchi hii.we will be ahead.
   
Loading...