Mtarban: wiki ijayo nitamuweka Makonda ndani ili nimshauri kitu

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,613
2,000
Nimepanga kukutana na mkuu Wa mkoa Wa ili kumshauri na yeye achangamkie fursa ya kuacha alama ya uongozi km alivyofanya DC Happi kwa kuiita shule jina lake. Huyu DC kamuovertake na amemzidi ubunifu kwa hili, na hata makonda nadhani hakulitarajia hili

itapendeza sana kama kuna shule itaitwaa Makonda primary/secondary school
 

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,613
2,000
Nimepanga kukutana na mkuu Wa mkoa Wa Dar ili kumshauri na yeye achangamkie fursa ya kuacha alama ya uongozi km alivyofanya DC Happi kwa kuiita shule jina lake. Huyu DC kamuovertake na amemzidi ubunifu kwa hili, na hats makonda nadhani hakulitarajia hili

itapendeza sana kama kuna shule itaitwaa Makonda primary/secondary school
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom