................ Mtarajiwa ....................

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
3.jpg
 
heee! kwaio kushinda uchaguzi ni function ya mambo mengi enh!

watu hadi wanashinda kwenye vibajaji daah .........pesa kweli ni mwanaharamu.
 
...ndo maana kako full time na misukule...

Can't imagine eti Ban Ki Moon baada ya muda wake akafanye upuuzi kama huu Korea! Huyu mama anajidhalilisha sana, UN Deputy Secretary General ni mtu mkubwa sana duniani..this is too low for her japo keshajiuzulu UN.
 
Maigizo tu hayo yasikutishe
heee! Kwaio kushinda uchaguzi ni function ya mambo mengi enh!

Watu hadi wanashinda kwenye vibajaji daah .........pesa kweli ni mwanaharamu.
 
can't imagine eti ban ki moon baada ya muda wake akafanye upuuzi kama huu korea! Huyu mama anajidhalilisha sana, un deputy secretary general ni mtu mkubwa sana duniani..this is too low for her japo keshajiuzulu un.

ukishakua kwenye siasa akili unaacha kwenye pochi
 
Huyu anazungushwa nchi nzima kimalengo na kimkakati
 
Can't imagine eti Ban Ki Moon baada ya muda wake akafanye upuuzi kama huu Korea! Huyu mama anajidhalilisha sana, UN Deputy Secretary General ni mtu mkubwa sana duniani..this is too low for her japo keshajiuzulu UN.
...lazima wanaagenda ya siri na jk,sio bure kujidhalilisha kwa namna hii,maana hata huko UN uswaiba wa jk na moon ndo uliompa shavu huyu mama...
 
Back
Top Bottom