Mtanzania zinduka:mabilioni ya uswisi watanzania tumepigwa changa la macho

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Kwanza niombe samahani kuwa mimi siyo mchambuzi hodari sana wa siasa, at least huwa nafuatilia mambo yanavyo kwenda.
Naanza kwa kujiuliza maswali.
1. Nikweli Zitto Zuberi Kabwe a.k.a ZZK hana hayo majina ya walioficha fedha huko Uswisi?
2. Je Serikali yetu ni safi kwa kiwango gani hata tumuamini AG kuwa ZZK alikula kiapo kwa kusema hana majina ya walioficha fedha huko Uswisi?
3. Kwanini hoja ya kukanusha ufichwaji wa mabilioni ya fedha Uswisi imekuja kipindi ambacho kuna mgogoro mkubwa sana kati ya CHADEMA na bwana Zitto Z.Kabwe?
4. Nani anafahamu utekezezaji wa wa maoni ya Tume za MAJAJI Mark Bomani, Kisanga au Nyalali?
Hapana binafsi sijashawishika hata kidogo.
Nacho kiona hapa serikali ilimetumia OPPORTUNITY ya Mgogoro wa Chadema kuzima kashfa hiyo nzito kwa kumbebesha Msalaba Mheshimiwa ZZK.
Utendaji wa serikali mara nyingi ni wa usiri sana. Hivi jiulize kama kati ya walioficha hela huko uswisi hadi Maraisi wastaafu labda wanahusika unadhani itakuwa raisi namna hiyo kuwataja?
Hili suala nimekaa kiusalama wa Taifa sana hivyo kwa mtu wa kawaida siyo raisi kuelewa kinachoendelea. Tujaribu kuangalia kilichotokea siku za nyuma, kwanini leo wasema watu hao hawapo? Fuatilia LINK hizo hapo chini:

(1) http://www.google.com/url?sa=t&rct=...sg=AFQjCNFOcbdEdlWUBjN4GdPtmhTqH7nvhQ&cad=rja
(2)
http://www.google.com/url?sa=t&rct=...2AW0Hm25aocCiTQ&bvm=bv.57967247,d.ZG4&cad=rja
View attachment 126536

(3)http://www.google.com/url?sa=t&rct=...byloE4&usg=AFQjCNHI7qQjxMhZFXstrqFUnSJ19-QHUw

Jaji Werema najua umetekeleza matakwa ya Viongozi wako wakuu ili kuisafisha serikali kutoka katika janga hili.
 
Alieanzisha JANGA la FEDHA USWISI mbona ndie anayependwa na CHAMA TAWALA? inaonyesha FIKA PESA zilizoko USWISI zimewekwa na WANACHAMA wa CHADEMA na SIO wa CHAMA TAWALA wa CCM

BRAVO TANZANIAN DEMOCRACY...

As always Unaua kinachokutetea HAKI YAKO; Unatukuza kinachoiba HAKI YAKO...
 
Kwanza niombe samahani kuwa mimi siyo mchambuzi hodari sana wa siasa, at least huwa nafuatilia mambo yanavyo kwenda.
Naanza kwa kujiuliza maswali.
1. Nikweli Zitto Zuberi Kabwe a.k.a ZZK hana hayo majina ya walioficha fedha huko Uswisi?
2. Je Serikali yetu ni safi kwa kiwango gani hata tumuamini AG kuwa ZZK alikula kiapo kwa kusema hana majina ya walioficha fedha huko Uswisi?
3. Kwanini hoja ya kukanusha ufichwaji wa mabilioni ya fedha Uswisi imekuja kipindi ambacho kuna mgogoro mkubwa sana kati ya CHADEMA na bwana Zitto Z.Kabwe?
4. Nani anafahamu utekezezaji wa wa maoni ya Tume za MAJAJI Mark Bomani, Kisanga au Nyalali?
Hapana binafsi sijashawishika hata kidogo.
Nacho kiona hapa serikali ilimetumia OPPORTUNITY ya Mgogoro wa Chadema kuzima kashfa hiyo nzito kwa kumbebesha Msalaba Mheshimiwa ZZK.
Utendaji wa serikali mara nyingi ni wa usiri sana. Hivi jiulize kama kati ya walioficha hela huko uswisi hadi Maraisi wastaafu labda wanahusika unadhani itakuwa raisi namna hiyo kuwataja?
Hili suala nimekaa kiusalama wa Taifa sana hivyo kwa mtu wa kawaida siyo raisi kuelewa kinachoendelea. Tujaribu kuangalia kilichotokea siku za nyuma, kwanini leo wasema watu hao hawapo? Fuatilia LINK hizo hapo chini:

(1) http://www.google.com/url?sa=t&rct=...sg=AFQjCNFOcbdEdlWUBjN4GdPtmhTqH7nvhQ&cad=rja
(2)
http://www.google.com/url?sa=t&rct=...2AW0Hm25aocCiTQ&bvm=bv.57967247,d.ZG4&cad=rja
View attachment 126536

(3)http://www.google.com/url?sa=t&rct=...byloE4&usg=AFQjCNHI7qQjxMhZFXstrqFUnSJ19-QHUw

Jaji Werema najua umetekeleza matakwa ya Viongozi wako wakuu ili kuisafisha serikali kutoka katika janga hili.

Sijawahi kumwamini Werema na sitawahi kumwamini labda awe nje ya serikali.
 
hata kama hana majina lakini wananchi tunajua kwamba kuna viongozi wa serikali hii wameficha fedha uswisi kwa hiyo serikali hii haitufai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom