Mtanzania toa wasifu wa nchi yako tokea uhuru

Mabadiliko Yanakuja

New Member
Oct 2, 2013
4
3
Wana JF
Ninatambua sehemu kubwa ya wanachama salio humu ni watanzania.

Niliulizwa swali moja kuhusu nchi yangu Tanzania, kuna jambo gani unaloweza kutoa sifa ya nchi ya Tanzania yako toka uhuru hadi sasa, kuna kipi tunachoweza kijivunia kuwa Mtanzania?
 
Wasifu wa nchi ya Tz ni kutokea muuangano. Hakuna nchi iliyopata uhuru inaitwa Tz, kuna Tanganyika, kuna Znz.

Ni bahati mbaya sana propoganda hizo za uongo hazina nafasi tena zama hizi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom