Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Uchunguzi Mdogo nilioufanya nimebaini Watanzania kupatiwa maendeleo Na Serikali yao chini ya CCM ni ndoto.CCM imeitawala Nchi hii Kwa zaidi ya Miaka 50 umasikini wa watanzania unazidi kuimarika.Katiba Yetu ni mbovu inatoa mwanya Kwa Viongozi wetu kujinufaisha wao badala ya wananchi.Tumeshuhudia mikataba mibovu ya michanga, Gesi n.k.inayowafaidisha wachache Na kuwaacha mamilioni ya watanzania masikini.CCM haikwepi ubovu wa Katiba ya Nchi kwani inawanufaisha hata wao.Ushauri Kwa Watanzania wajitafutie maendeleo wao wenyewe lakini kupata maendeleo Kwa Katiba hii Na CCM hii in NDOTO.