Mtanzania Mzalendo amiliki kiwanda cha kuunganisha mabasi

Design sio yake, ni assembly tu, parts zote zinabuniwa na kutengenezwa nje ya nchi.

Kama vile pikipiki au baiskeli zinatengenezwa nje zinakuja vipande kwenye maboksi na kuunganishwa hapa nchini.
Hapana mkuu, hio body ame- design kareem design kijana wa hapa hapa bongo anaefanya vizuri kwenye game na imetengenezewa hapa hapa bongo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu
Watanzania wanaendelea kubuni fursa za kiviwanda baada ya mtanzania mwenzetu Blasto Makundi(BM) kumiliki kiwanda Cha kuunganisha mabasi katika eneo la Kibaha mkoani Pwani

Kiwanda hicho kina uwezo wa kuunganisha mabasi makubwa ya kubeba abiria 50 na kuendelea

Makundi pia anamiliki kampuni ya mabasi ya BM Coac
Pichani Ni waziri wa viwanda akiwa kiwandani hapo alipoenda kukitembelea
TUMPE HONGERA

View attachment 1362441

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini usiamini mmiliki hayumpo hapo
 
Anaunganisha gari za aina gani? Scania, Utong au Isuzu?
 
Back
Top Bottom