Mtanzania mwingine akamatwa na madawa ya kulevya

billduke

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
837
1,000
Heroin drug packer arrested in Macao
Updated: 2013-12-20 16:11

(chinadaily.com.cn)

A 28-year-old woman from Tanzania was arrested on a charge of drug possession in Macao, Dec 19, 2013. She hid 1.1 kilograms of heroin valued at $137,720 in her body and took a flight from Thailand to Macao on Tuesday. She said her destination was Guangzhou, capital of South China's Guangdong province. [Photo/icpress.cn]
 

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Jackie cliff aka the boss lady...jeuri ya sembe ndo inakufanya ujiite boss lady??!!:.kw lipi hasa,wanyongwe tuuu
 

gilgal

Member
Dec 2, 2013
73
0
Inasikitisha sana,!!!!wale sembe lords ndiyo kiini cha haya yote,sijui kwa nini wao wahakamatwi,?
 

billduke

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
837
1,000
Lishakuwa janga la taifa hili sasa...bado wengine maana wapo kibao...
Mdada umejaliwa uzuri Kwanini usitulie ukapata mume ukaolewa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom