Mtanzania mwenzetu bado anatafuta fuvu la Mangi Meli

wakusoza

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
628
644
Kuna ndugu yenu ujeruman huko mtafuten mmuludishe kundin
Screenshot_2018-11-15-10-13-05-1.jpg
 
Sasa akilipata litamsaidia nini?
Ngoja wampe la Kichaa yoyote Wa kizungu hulo
Weee Mgirik: hawawezi mpa kichwa cha mzungu hata hawe kichaa. Watampa bichwa lolote la mtu mweusi tiii hata wa Haiti
 
Miaka 40 ! No hope
Miaka 40 bado sana.

Mossad wanatafuta mwili wa Eli Cohen mwaka wa 53 huu na hawajaupata, na bado hawajakata tamaa. Ni may mwaka huu ndo wamefanikiwa kupata saa yake ya mkononi aliyokuwq anavaa.

Sasa huyu wa miaka 40 bado ana nafasi kubwa ya kupata fuvu hilo.
 
Back
Top Bottom