Mtanzania Msomi Nguli Matatani Marekani, ni mwandishi wa Vitabu ...


A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
2,382
Likes
492
Points
180
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
2,382 492 180
Proffessor huyu nguli wa Kitanzania inawezekana alimwandikia na anauza kitabu "Biography" cha JK huko Marekani.

Amepokea Shilingi Mil 18 bila kuingia darasani kufundisha wanafunzi.


Julius Nyang'Oro, Ex-UNC Professor, Charged With Felony In Academic Scandal
ASSOCIATED PRESS | By EMERY P. DALESIO Posted: 12/02/2013 9:07 pm EST | Updated: 12/02/2013 9:07 pm EST

Inasikitisha sana.


Books by Julius Edo Nyang'oroJk: A Political Biography of Jakaya Mrisho Kikwete: President of the United Republic of Tanzania by Julius Nyang'oro (Jul 22, 2010)


Hardcover Order in the next 4 hours to get it by Wednesday, Dec 4.
Only 5 left in stock - order soon.

FREE Shipping on orders over $35
 
L

legend jemedari

Senior Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
171
Likes
192
Points
60
L

legend jemedari

Senior Member
Joined Sep 7, 2013
171 192 60
Nimesikitishwa sana Kusoma tovuti ya "Wavuti " . Eti Msomi huyu nguli wa Kitanzania tena inawezekana alimwandikia na anauza kitabu "Biography" cha JK huko Marekana.
Tukusaidieje na kiwete wako?
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,005
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,005 280
mbona umeandika nusu nusu mkuu tupia na link tuone..
 
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
2,382
Likes
492
Points
180
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
2,382 492 180
Tukusaidieje na kiwete wako?[/Tukusaidieje na kiwete wako?]

Huoni kwamba Proffessor huyu alikuwa bread erner kwa watanzania wengi/ familia. Ni pigo kubwa Proffessor kuanikwa mahakamani.
 

Forum statistics

Threads 1,249,670
Members 481,005
Posts 29,706,921