Mtanzania Msomi Nguli Matatani Marekani, ni mwandishi wa Vitabu ...

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Nimesikitishwa sana Kusoma tovuti ya "Wavuti " . Proffessor, Msomi huyu nguli wa Kitanzania tena inawezekana alimwandikia na anauza kitabu "Biography" cha JK huko Marekani.

Yupo matatani Marekani na kesi inaenda kwa court.

Amepokea malipo ya kufundisha Chuo kikuu lakini hakuonekana Darasani

Mungu epusha mbali. Inasikitisha sana yaani!
!
 
Back
Top Bottom