abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Habari WanaJF,
Nikiwa kama mdau ninayependa kuona wale watu ambao ni vioo vya jamii wanakuwa mstari wa mbele kwenye kuelimisha jamii na si kuipoteza jamii. Kitendo alichofanya Esma ni zaidi Mara elf 10 ya kitendo alichofanya Gigy Money.
Esma katangazia umma kuwa alitoa Mimba huku akionyesha kufurahia hicho kitendo kwa kusema kuwa alitoa mimba sababu mimba alikuwa haipendi na hata angeizaa asingempenda mtoto
Kwa wingi wa watu Tanzania wanaotumia mitandao ya kijamii na kwa ukubwa wake Esma ameweza kufundisha kuwa kama una mimba na huipendi unaweza kuitoa kitu ambacho si kizuri kwa sheria ya nchi zetu pia hata vitabu vya Dini vimelikemea hili.
Serikali naomba mkemee ili suala kwani siyo nzuri.