Mtanzania kukiri na kutangazia watu kuwa Katoa Mimba ile siyo kosa? Kama si kosa mbona ndio maadili mabovu!

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
964
1,000
Habari WanaJF,

Nikiwa kama mdau ninayependa kuona wale watu ambao ni vioo vya jamii wanakuwa mstari wa mbele kwenye kuelimisha jamii na si kuipoteza jamii. Kitendo alichofanya Esma ni zaidi Mara elf 10 ya kitendo alichofanya Gigy Money.

Esma katangazia umma kuwa alitoa Mimba huku akionyesha kufurahia hicho kitendo kwa kusema kuwa alitoa mimba sababu mimba alikuwa haipendi na hata angeizaa asingempenda mtoto

Kwa wingi wa watu Tanzania wanaotumia mitandao ya kijamii na kwa ukubwa wake Esma ameweza kufundisha kuwa kama una mimba na huipendi unaweza kuitoa kitu ambacho si kizuri kwa sheria ya nchi zetu pia hata vitabu vya Dini vimelikemea hili.

Serikali naomba mkemee ili suala kwani siyo nzuri.
 

kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
409
500
Nashindwaga kuelewa ili neno "kioo cha jamii" uwa mnalitafsri vp.
Mi nachoelewa wana portray kile kinachofanyika ktk jamii yetu wether ni kibaya au kizuri.Hawa sio wanafanya mazuri tu had mtake waelimishe jamii,ata mabaya pia ni yao.Kwa hyo wana reflect yanayotokea kwenye jamii yetu.
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,997
2,000
Tatizo wazee mnatia mimba halafu mnakula kona, waacheni wadada watoe tu.
 

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
3,865
2,000
Sio kwamba ni kosa tu, bali kama ilivyo ushoga Watanzania sisi hatufanyi kabisa hayo mambo yanafanyika kwa Wazungu huko.
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
26,872
2,000
Kuna vitu vingine ni kupoteza muda tu.
Mimba ya kwake na mme wake.
Kama katoa anayetakiwa kumshtaki Ni mumewe
Sheria zilivyo hata mtu akisema kaua mtu hakamatwi

Kusema umefanya Jambo Fulani sio lazima iwe kweli na haitoi uthibitisho na ushahidi usio na Shaka kuwa umefanya
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,713
2,000
Sheria zilivyo hata mtu akisema kadiamond basiakamatwi

Kusema umefanya Jambo Fulani sio lazima iwe kweli na haitoi uthibitisho na ushahidi usio na Shaka kuwa umefanya
Esma huwa kichwa maji tena kiwango cha lami kama si kuokotwa na kutenbelea nyota ya daiamond basis angeliwa funZa
 

ngulukizi

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
280
1,000
Ndio Tatizo la mmoja katika familia kuwa maalufu basi na familia nzima inataka iwe hivyo kiasi kwamba hawajui unapokua maalufu kuna maneno hutakiwa kuyatamka ovyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom