TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

ama kweli najua wazungu wamchukua hatua hizi za kutangaza dau kubwa la pesa kwa ataeweza tambua muuaji wa mtanzania huyu sababu ya ushoga na si vingenevyo. kamwe wazungu hawafurahii kutuonesha madhara ya ushoga sababu wana ajenda zao.
nimepitia kwenye akaunti za marehemu na inasikitisha kuona taswira yake ya kabla na baada ya kuwa na mahusiano ya jinsia moja.
jamaa alikua ana binti mkubwa tu na alikua anampenda sana mwanae.
aidha katika nyakati flani anajarbu kuelezea namna gani maisha yake bado hayajasettle akiwa huko aliko sababu document zake bado hajizakaa sawa; swali fikirishi ni kwamba pengine hakua na namna zaidi ya kuwa unyumba ma mzungu huyo glen ili apate document za kuishi?
RIP
Screenshot_20200822-171526.jpg
Screenshot_20200822-170749.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_15981051404574521.jpg
    FB_IMG_15981051404574521.jpg
    194.9 KB · Views: 15
  • FB_IMG_15981051515788032.jpg
    FB_IMG_15981051515788032.jpg
    230.3 KB · Views: 15
  • FB_IMG_15981051082418439.jpg
    FB_IMG_15981051082418439.jpg
    118 KB · Views: 15
ama kweli najua wazungu wamchukua hatua hizi za kutangaza dau kubwa la pesa kwa ataeweza tambua muuaji wa mtanzania huyu sababu ya ushoga na si vingenevyo. kamwe wazungu hawafurahii kutuonesha madhara ya ushoga sababu wana ajenda zao.
nimepitia kwenye akaunti za marehemu na inasikitisha kuona taswira yake ya kabla na baada ya kuwa na mahusiano ya jinsia moja.
jamaa alikua ana binti mkubwa tu na alikua anampenda sana mwanae.
aidha katika nyakati flani anajarbu kuelezea namna gani maisha yake bado hayajasettle akiwa huko aliko sababu document zake bado hajizakaa sawa; swali fikirishi ni kwamba pengine hakua na namna zaidi ya kuwa unyumba ma mzungu huyo glen ili apate document za kuishi?
RIPView attachment 1544922View attachment 1544923
Huyu mpuuzi ni mvivu
 
Victoire nakupinga sana kwenye hili timisho ila tumuache mwenzetu apumzike kwa amani badala ya kuendelea kumzodoa kwenye umauti wake. RIP Mdoe.

R.I.P. Hakupenda kuwa shoga,sema kwenda US ndo kulimfanya awe hivyo. Huyo mzungu alikuwa boss wao huko Njiro. Inaonekana walimla sana. Naona Mzungu akajichagulia Johnson ili amuoe. Ugumu wa maisha ya Bongo ikabidi akubali tu.
Huyu marehemu ana watoto kabla ya kuoa huyo mzungu.
 
Tunaishukuru serikali ya Marekani kuonyesha thamani ya kupigania haki ya Mtanzania mwenzetu aliye poteza maisha.
Na Mmarekani siku zote amekuwa akijitolea kwa dhati kwaajili ya maisha ya Watanzania.
Tofauti na mchina mm hapa mchina namuona ni sawa na gedere tu.

Lakini Watanzania kupitia hili tujiulize kitu kwamba hivi kama huyo Mtanzania angepigwa risasi Tanzania serikali ingechukua hatua kama ambazo zimechukuliwa marekani na ikiwa Tanzania matukio mengi yametokea na serikali haijachukua hatua zozote kwa mfano tundu lissu kupigwa lisasi kuuwawa kwa Mawazo watu kuokotwa kwenye vipeto nk.
Na tujiulize kila Mtanzania kwa anathamani ya sh. Ngapi?
Kwa maana wamarekani wenyewe wanasema kila mmarekani anathamani ya dollar billion 1
Kama wamarekani wanamjua hata alompiga lisu lisasi kwa nini wasimtafute huyu muuaji
 
Tumeambiwa waziwazi " the victim's husband" yaani "mume wa marehemu" ikionesha kwamba marehemu alikuwa kaolewa na huyo mzungu.
That's formal English...! Kila mmoja anam-refer mwenzake as husband! Anayeliwa atamuita mwenzake husband na mlaji atamwita mwenzake husband!

Kwa maana nyingine, kwenye formal English inayotumika by homos, huwezi kujua nani sasa analiwa au anakula, kama wanavyotumia neno gay! Kwenye kujua nani ni nani, lugha inayotumika ni ya mtaa... top/pitcher vs bottom/catcher!
 
Narudia tena, vijana fanyeni kazi kwa bidii.. Kazi ndio msingi wa mafanikio na maendeleo.. Kazi kwa bidii bila kuchoka ndio msingi wa kila kitu ndugu zangu.. Maisha ya haraka haraka bila bidii hayana faida ya kweli na huacha historia mbaya kwa vizazi vyako na wewe mwenyewe..

Kazi kazi, hii nchi haiwezi kujengwa kirahisi rahisi bila jeshi kubwa la vijana kujituma na kuweka misingi imara.. Vijana wafanye kazi kwa bidii nchi hii ina eneo kubwa na mapoli mengi yanayohitaji vijana kujituma na kuzitumia hizo resources kuiweka Tanzania kwenye ramani.

Ulaya na USA zimejengwa kibabe na wenyewe wazungu usiku na mchana, jua na mvua na kuifanya miji yao kuwa mizuri na sehemu salama wao na vizazi vyao kuishi...Ni jukumu letu vijana wa KiaAfrica kuijenga Africa na kuifanya sehemu nzuri na salama kwa wajukuu zetu kuishi..
Uko sahihi kabisa Mkuu in a spoken sound of "No longer at easy"
 
R.I.P. Hakupenda kuwa shoga,sema kwenda US ndo kulimfanya awe hivyo. Huyo mzungu alikuwa boss wao huko Njiro. Inaonekana walimla sana. Naona Mzungu akajichagulia Johnson ili amuoe. Ugumu wa maisha ya Bongo ikabidi akubali tu.
Huyu marehemu ana watoto kabla ya kuoa huyo mzungu.
Nimemuangalia FB sijui nini kilimfanya aenda huko maana hata huku nyumbani hakuonekana na maisha magumu au ya kumfanya akate tamaa, nadhani ni ushawishi wa huyo jamaa yake, maisha haya kweli hujui kesho yako hadi huruma, inawezekana alikuwa member humu.
 
Hata mimi nimeangalia page yake. Tena alikuwa proud kabisa na binti yake. Huyo mzungu ndo aliyamshawishi. Tamaa za maisha ya US zimemponza.
 
Hata mimi nimeangalia page yake. Tena alikuwa proud kabisa na binti yake. Huyo mzungu ndo aliyamshawishi. Tamaa za maisha ya US zimemponza.
Anaonekana amepungua sana baada ya kwenda huko nadhani ni mawazo kwamba Jamii inamuangaliajw huku nyumbani, hasa ukichukulia watoto wake ni wakubwa Kwa sasa, na hii taarifa ndio inachafua kabisa.
 
Anaonekana amepungua sana baada ya kwenda huko nadhani ni mawazo kwamba Jamii inamuangaliajw huku nyumbani, hasa ukichukulia watoto wake ni wakubwa Kwa sasa, na hii taarifa ndio inachafua kabisa.
Pia alikuwa hapost kabisa kuhusu uhusiano na huyo mzungu. Ukiangalia page ya mzungu ndo aliyekuwa ana post sana mahusiano.
Iam sure huyu Mdoe hata familia yake hapa Dar walikuwa hawajui kama kafunga ndoa na mwanaume mwenzake huko US.
 
Victoire nakupinga sana kwenye hili timisho ila tumuache mwenzetu apumzike kwa amani badala ya kuendelea kumzodoa kwenye umauti wake. RIP Mdoe.
Nenda facebook tafuta page inaitwa Johnson mchaina utaona picha za 2012,2014 ana watoto tena nimeona kuna anaitwa Lissa,kuna anaitwa Dorrycus. Huyo tamaa ilimfanya akaoe mwanaume mwenzake. Ila hata hivyo hakustahili kupigwa risasi. Ila pia asingeenda huko US kuowa/kuolewa na mwanaume mwenzake haya yasingemkuta.
 
Back
Top Bottom