Mtanzania Jennifer Shigoli atajwa kuwa Mjasiriamali bora Afrika 2016


RUCCI

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
1,699
Likes
964
Points
280
RUCCI

RUCCI

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
1,699 964 280
jennifer-aeaward-750x375-jpg.443842Mtanzania Jennifer Shigoli ni miongoni mwa washindi 11 wa shindano la wajasiriamali wa Afrika baada ya kufanikiwa kutwaa ushindi katika kategori ya kwanza na kuondoka na dola za Marekani 150,000.

Akitangaza washindi hao walioko katika kategori ya elimu, mazingira na mengineo, Rais wa benki ya BMCE, Othman Benjelloun alisema tuzo hizo zimetolewa kwa wale waliofanya vyema katika kuleta hali bora ya ujasiriamali na kuwa na biashara endelevu.

Mtanzania huyo ametoa tuzo hizo katika kategori ya elimu kupitia taulo za usafi – “Reusable Sanitary Pads”

Tuzo hizo ambazo zinatolewa kwa ushirikiano kati ya BMCE Bank of Africa na African Entrepreneurship Award zimetengewa dola za Marekani milioni 1.

Washindi hao 11 ni miongoni mwa washiriki 37 waliofikia fainali ambao walikuwapo katika Boot Camp mjini Casablanca, Morocco kuanzia Novemba 30 hadi Decemba 3, 2016.

Washindi hao ni kama ifuatavyo:

Nafasi ya kwanza ya tuzo $150,000

-Mazingira: Mahmud Johnson – Liberia – “Oil Palm products”

-Elimu: Jennifer Shigoli – Tanzania – “Reusable Sanitary Pads”

Nafasi ya pili tuzo $100,000

-Mazingira: Ernie Aylward – Afrika Kusini “Electric mini-cabs”

-Elimu: AbideenAdelu – Nigeria – “Mobile application for students”

-Mengineyo: Joyce Kyalema – Uganda – “Pumpkin food”

Tuzo za wanaochipukia, $50,000

-Frederico Peres da Silva – msumbiji – “Connect blue-collar, informal workers to customers”

-Achiri Nji – Cameroon – “Live status updates on road conditions”

-Benti Gelalcha – Ethiopia – “Veterinary Ambulatory Clinical Services”

-Murtula Sanni – Nigeria – “Online platform for skilled workers”

-Omar Kadiri – Morocco – “Free phone credit”

Tuzo za African Entrepreneurship zilitangazwa Novemba 2014, mjini Marrakesh, na Mwenyekiti Othman Benjelloun katika mkutano wa kimataifa wa ujasiriamali (Global Entrepreneurship Summit), ikiwa na lengo la kuboresha ujasiriamali na kuwashawishi wajasiriamali kuanzisha biashara, kuziendeleza kutengeneza fursa za ajira na kuboresha maisha ya wananchi wa Afrika.
 

Attachments:

  • File size
    208.4 KB
    Views
    57
Mwana Ukoo

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
242
Likes
348
Points
80
Mwana Ukoo

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
242 348 80
Hongera kwake na kwa kupeperusha bendera yetu
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,241
Likes
13,778
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,241 13,778 280
Hongera zake na Tanzania kwa ujumla.
 
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
4,124
Likes
2,246
Points
280
Blank page

Blank page

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
4,124 2,246 280
safi sana
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,780
Likes
27,968
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,780 27,968 280
Marvelous!
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
7,903
Likes
8,884
Points
280
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
7,903 8,884 280
Hongera zake
 
Facilitator

Facilitator

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
2,289
Likes
845
Points
280
Facilitator

Facilitator

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
2,289 845 280
Nimeipenda hii -Omar Kadiri – Morocco – “Free phone credit”
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,832
Likes
24,266
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,832 24,266 280
Safi sana....

OVA
 

Forum statistics

Threads 1,273,289
Members 490,351
Posts 30,477,109