Mtanzania halisi ni yupi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania halisi ni yupi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NZURI PESA, Jan 28, 2012.

 1. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Kati ya hawa mtanzania ni yupi?
  1. Aliyezaliwa Tanganyika/ Zanzibar baada ya 26 April 1964?
  2. Aliye zaliwa na Wazazi ambao mmoja kati ya wazazi hao ametokea moja ya pande ya Muungano? Au
  ni vipi? Nijuzeni WANASIASA MLIYOBOBEA .
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mtanzania ni mtanzania tu. " halisi" ni adjective na subjective.
   
 3. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Ni yeyote ambaye amewahi kula ugali na maharage au chips vumbi.
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tumeshaanza kubaguana.Ukitoka kwenye U tanganyika na U zenji utakuja umkoa halafu ukabila.
   
 5. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uvivu kasome katiba ya nchi kisha urudi humu kama hautaelewa ukishindwa zaidi nenda uhamiaji.
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni mtu mwenye matatizo kupita kiasi.
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ni yule ambae ahambiliki kuhusu magamba na anayeona matatizo kama ya elimu,maji,umeme,afya na kushuka kwa thamani ya shilingi ni sehemu ya Amani.
   
 8. G

  Gabriela Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Unalaana wewe c bure! Nenda huko mbaguzi wewe
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wakuu mbona mnatoka nje ya mada. Mpeni jibu musimkejeli. Kama hamjui bora mupite tu. Sasa nakubali kuwa JF imevamiwa na wazembe na wachafuzi.
   
 10. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Yote ni majibu sahihi. Na kuongezea,aliyezaliwa Tanganyika/Zanzibar baada ya 26.04.1969 lakini na wazazi ambao ni wa-Tanganyika/Zanzibar. Wengine wataongezea...
   
 11. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2016
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Anatokea Banana Republic

  [​IMG]
   
 12. Mr.Wenger

  Mr.Wenger JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2016
  Joined: Nov 20, 2014
  Messages: 1,303
  Likes Received: 1,996
  Trophy Points: 280
  Mtanzania halisi ni yule mwenye alama ya ndui begani
   
 13. emmanuel mhecha

  emmanuel mhecha JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2016
  Joined: Jun 21, 2015
  Messages: 929
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Big up,nilijua utaeleza vile ulivyozoea keeleza,sometime upon clever madenge
   
 14. T

  Tyetyetye JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2016
  Joined: Dec 3, 2014
  Messages: 619
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  KUMBUKENI TANZANIA HAIKUPATA UHURU, TANGANYIKA NDIYO ILIYOPATA UHURU. KWA HIYO WATANGANYIKA (WALE WALIOZALIWA KABLA YA 1961) NDIO WATANZANIA HALISI WENGINE NI VIZAZI VYAO. ZANZIBAR SIJUI ILIPATA UHURU LINI, UHURU ULE TOKA KWA MZUNGU AU TOKA KWA MWARABU. MWENYE UFAHAMU ANIELIMISHE
   
 15. Raphael wa Ureno

  Raphael wa Ureno JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2016
  Joined: Jul 12, 2016
  Messages: 6,369
  Likes Received: 10,285
  Trophy Points: 280
  Mtanzania halisi ni Yohana mbatizaji
   
 16. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2016
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,002
  Likes Received: 4,431
  Trophy Points: 280
  julius-k-nyerere-quote-african-nationalism-is-meaningless-dangerous.jpg
   
 17. u

  ustadhijuma JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2016
  Joined: Jul 20, 2015
  Messages: 2,981
  Likes Received: 1,666
  Trophy Points: 280
  mtanzania halisi Ni jecha
   
 18. Mgodo visa

  Mgodo visa JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2016
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 2,669
  Likes Received: 2,376
  Trophy Points: 280
  Mtanzania amezaliwa BONGO...ZenjiBAR sio bongo.....
   
Loading...