Mtanzania gani kama hawa watatu?

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
1) Hutembelea na kukutana na jamii katika maeneo yao.

2) Husikiliza shida na kero za jamii kwa usikivu na umakini.

3) Hutoa majibu yaliyo sahihi ya kutatua shida/kero hizo.

4) Huagiza vyombo husika kutekeleza hayo majibu waliyotoa.

5) Hufuatilia kwa karibu utekelezaji huo.

6) Huchukua hatua mara moja penye utekelezaji usiorodhisha.

Nao ni:
Rais John Pombe Magufuli;
Makamu wa Rais, Mama Samia; na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Mifano ni hii hapa:

..hao wote walisubiri wawe na ulinzi na mamlaka ndiyo wakatenda hayo.

..TUNDU LISSU hakusubiri ulinzi, mamlaka, au dola iwe nyuma yake. Huyo ndiyo mtetezi wa haki nchi hii.

..
 
1) Hutembelea na kukutana na jamii katika maeneo yao.

2) Husikiliza shida na kero za jamii kwa usikivu na umakini.

3) Hutoa majibu yaliyo sahihi ya kutatua shida/kero hizo.

4) Huagiza vyombo husika kutekeleza hayo majibu waliyotoa.

5) Hufuatilia kwa karibu utekelezaji huo.

6) Huchukua hatua mara moja penye utekelezaji usiorodhisha.

Nao ni:
Rais John Pombe Magufuli;
Makamu wa Rais, Mama Samia; na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Mifano ni hii hapa:

Pole kwa kutokuwa na akili nzuri,
 
Jerry amewafungua wengi macho na masikio, pambana mkuu utaukwaa uteuzi tu
 
Back
Top Bottom