Tufafanulie hiyo technology inafanyaje kazi hasa kwetu ambao ndo Mara ya kwanza tunaisikia....
Sent using Jamii Forums mobile app
Matajiri wako bize kutuuzia Ukwaju, sayona etcSerikali hainunui mifumo yaani software sababu haiko kwenye hiyo biashara ilikuwa haki yake kuuza popote Duniani anapoona pana faida na inakubalika
Matajiri wa Tanzania Hakuna venture capitalist wanunua mawazo na wapenda kuingia ubia na wagunduzi
Nchi za wenzetu Wako kibao waweza wauzia wazo au ugunduzi wako au mkaingia ubia
.Bora umewahi kuipost Mana wakenya hawakawii kisema huyo no mkikuyu wa Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza kuwa Mbwana Samatta wameshampa uraia .Kenya uraia wa zaidi ya nchi moja ruksa
umepigilia msumari penyewe
Alafu BAVICHA wanashinda mitandaoni kulilia ajira, MPUMBAVU!
We kubwa jinga kweli Yani ujaona Kuna tatizo hapo. Jamaa kauza kwa sababu sisi hatuna uwezo wa kuitumia iyo technology kutengeza product we are nothing.Alafu BAVICHA wanashinda mitandaoni kulilia ajira, MPUMBAVU!
Mtanzania, anauzia UK mfumo wa kuja kutusambazia waafrika gesi, tena wanakabidhiana pesa Nairobi, mimi naona ni kama aibu kwa nchi yetu.
It doesnt matter js follow the moneyMtanzania, anauzia UK mfumo wa kuja kutusambazia waafrika gesi, tena wanakabidhiana pesa Nairobi, mimi naona ni kama aibu kwa nchi yetu.
Hzo mbona zipo.mita,znauzwa elf20,,.mi ninayoKwahiyo kutakuwa na mabomba ya gesi. Mtz mwingine avumbue mtungi ambao unaweza kuangalia salio la gesi ili tuondokane na adha ya gesi kukatika gafla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama UVCCM mko vizuri na linchi lenu mbona kaenda kupewa pesa Nairobi?Alafu BAVICHA wanashinda mitandaoni kulilia ajira, MPUMBAVU!
Kama hvo inakua haina maana,au laa umeshindwa elezeasiyo mambomba ya gesi ndugu. Huyu alichogundua ni Mita, anakuletea Mtungi wa kilo 6, 15 au 30 nyumbani kwako ila huwezi kuutumia mpaka ulipie, unaweza kununua gesi ya 2000 katika mtungi huo ikiisha inakata hadi ununue tena, ni kama Luku.
Kagera!mendez ni majina ya mkoa gani hapa tanzania
kivipi wao wanakuruhusu kununua gesi hata ya shilingi elfu moja sio lazima mtumgi mzima.waweza kuwa huna pesa ya kununua mtungi wote una elfu mbili unalipa ukiwasha jiko linawaka unajipikia mlo wako bila shida.Kama hvo inakua haina maana,au laa umeshindwa elezea
Unataka kusema dada yako sio mzuri kwa vile Alikiba kaoa Kenya!Sasa kama UVCCM mko vizuri na linchi lenu mbona kaenda kupewa pesa Nairobi?
Nje bei za hisa ni nzuri angeuza tanzania pengine asingepata hata milioni 20Mtanzania, anauzia UK mfumo wa kuja kutusambazia waafrika gesi, tena wanakabidhiana pesa Nairobi, mimi naona ni kama aibu kwa nchi yetu.