Mtanzania Ampiga kwa knockout Mzungu huko Birmingham, UK

kidudula

Senior Member
Jul 29, 2017
130
106
Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika ukumbi wa 'ARENA BIRMINGHAM'

ANGALIA BAADHI YA VIPANDE VYA PAMBANO HILO HAPA

unnamed.jpg
 
Bondia wa Tanzania anaenda kupiga na mtu ambaye kwao miundombinu ya umeme na maji iko safi, uchumi uko safi kila kitu kiko safi.

Ila unapigana na Mtanzania ambaye anawaza kesho atakula nini, atapata vipi ada, atawezaje kujenga, anawaza huduma za maji bado hajazipata yaani akiingia ulingoni unakuta hana hasira na wewe badala yake hasira zote za matatizo yake anaingia nayo ulingoni.

Sasa mshikemshike utakuwa pale ambapo utaonekana ni tatizo la Mtanzania aisee UTAPIGWA NGUMI.

Pole sana Mzungu hujapigwa kwa sababu ya mambo ya ngumi ila ulionekana kama vile ndiye tatizo kwa Watanzania.
 
Hahahahahaha ni kweli
 
Omera....
 
Hahaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom