Mtanzania amka, chukua hatua!

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,004
2,000
Ndugu wananchi wenzangu, tulipofikia ni pabaya.

Wapinzani kila siku wanapishana kwenye korido za mahakama, vipi kuhusu chama tawala?

Matajiri wananyang'anywa mali zao, wanatekwa na masaibu mengi yanawakumba.

Polisi wanaua wanavyojisikia kwa mfano: (wapo wengi hawa ni wachache)
Daudi Mwangosi-Iringa,
Akwiline- Dar
Wanafunzi Happiness Ibrahim na Abasi Ally -Arusha
Msafirishaji wa samaki -Sengerema
Chacha Heche -Tarime

Mkurugenzi Itigi-Singida alimuua Ndg Isack Petro akiwa kanisani. Hata hawamuogopi Mungu japo kinafki.

Sarakasi za korosho ndo kwaanza zimefika patamu (hazina ubora, bei kushuka kutoka 3300 hadi 2600, kampuni hewa)

Siasa hadi 2020?
Hamphrey Polepole na Bashiru Ally utadhani VASCO DAGAMMA ndani ya Tz, lakini Salum Mwalimu na Visent Mashinji wakijaribu tu inakula kwao. Why?

Spika Ndugai kwa miezi takribani 5 alilipwa zaidi ya mara mbili ya pesa alizolipwa Lisu kwa miezi 15. Kuna wabunge (CCM) wengine wagonjwa lakini wanaendelea kulipwa lakini hakuna tamko la kuzuia mishahara yao.

Mishahara haipandi mwaka wa nne sasa. Visingizio vingi, mara uhakiki watumishi hewa, mara vyeti feki, sasa hivi wamekuja na kauli mbiu mpya; TUME YA MISHAHARA haijamaliza upembuzi linganishi.

Ajira tunazisikia tu, mikopo vyuo vikuu ni kitendawili.

Nawaambieni wataendelea kumtoa mmoja mmoja tusipokuwa na UNITY.

Hakuna aliye salama. Kumbuka sumu alizopewa Mwakyembe, Nimrodi, Lowassa; Je, walikuwa upinzani wakati wanapewa sumu hizo? Je, yule namba mbili aliyefariki kwa kuwekewa sumu kwenye mike wakati anahutubia alikuwa chama gani?

Haijawahi kutokea UDIKTETA ukaondolewa kwa BARE WORDS!
 
dolomon

JF-Expert Member
Jun 5, 2018
563
1,000
Njoo na solution Basi, tunafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom