ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,087
- 12,989
Alishinda Mumbai Marathoni ambayo mshindi alipewa $41,000 hio ni tzs 100m. Hii ya london $20,000 ambayo ni tzs 45m. Hard work pays.Atleast Jamaa kapata cha kufutia jasho nadhani hiyo ni motivation tosha kwa vijana wa kitanzania ambao wangependelea kuwa wanariadha jamaa anatuwakilisha vyema kabisa
Mimi nipo pamoja na ww ndugu, kile chama bana wamekifanya kama chao kila mwaka wapo wao tu kwenye uongozi na chamsingi hakuna mabadiliko wanayoyafanya zaidi ya Juhudi binafsi za mwanariadha.Hawa wanariadha wa Tanzania wanajitoa sana ila tatizo kubwa ni Chama cha Riadha nchini ndio kimewatupa sanaa. Unafiki wanauonesha kwenye kuwaaga wanapokuwa wanakwenda mashindanoni. Hii nchi kuna watu wanatumia vibaya sana nafasi walizopewa.
SingidaKwani Simbu ni wa wapi..?
Singida ni origin...ila umahiri wa mbio kaupatia Arusha....Singida
Chama kimejaa waganga njaa na wababaishajiMimi nipo pamoja na ww ndugu, kile chama bana wamekifanya kama chao kila mwaka wapo wao tu kwenye uongozi na chamsingi hakuna mabadiliko wanayoyafanya zaidi ya Juhudi binafsi za mwanariadha.
Sio mbaya zitamtoa kiasi chakeMore than 7 million dollars will be on offer in London. A total of US$ 7,344,000 in prize money will be paid by the IAAF in London as follows:
Individual Events
Gold: US$ 60,000.
Silver: US$ 30,000.
Bronze: US$ 20,000.
fourth place: US$ 15,000.
fifth place: US$ 10,000.
sixth place: US$ 6,000.
seventh place: US$ 5,000.
eighth place: US$ 4,000.
Relays (per team)
Gold: US$ 80,000.
Silver: US$ 40,000.
Bronze: US$ 20,000.
fourth place: US$ 16,000.
fifth place: US$ 12,000.
sixth place: US$ 8,000.
seventh place: US$ 6,000.
eighth place: US$ 4,000.
Unaweza kusoma zaidi hapo chini
World Record Award of US$ 100,000 on offer at IAAF World Championships in London - SportsNewsIRELAND
Dah kwa hiyo jamaa ni don flani ila sema ana nidham sanaAlishinda Mumbai Marathoni ambayo mshindi alipewa $41,000 hio ni tzs 100m. Hii ya london $20,000 ambayo ni tzs 45m. Hard work pays.
All in all kapeperusha vema Bendera yetu,Singida ni origin...ila umahiri wa mbio kaupatia Arusha....