Mtanzania Allen Kimambo, Ashinda Tuzo ya Ujasiliamali wa Mazingira Afrika, Apata Tuzo ya US $ 100,000.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,434
113,444
Mwana JF,

Be the first to know kuwa Mtanzania Allen Kimambo, Ashinda Tuzo ya Ujasiliamali wa Mazingira Afrika, Apata Tuzo ya US $ 100,000.
BMCE-Benjelloun-African-Entrepreneurship-Award-recompense-12-laureats-de-9-pays-africains.jpg





PRESS RELEASE

BMCE Bank of Africa is honored to announce the winners of African Entrepreneurship Award 2017, its support program for African entrepreneurs

12 winners were selected in the final stage of the competition

CASABLANCA, Morocco, December 15, 2017/ -- BMCE BANK of Africa (www.BMCEbank.ma) is announcing the winners of the third edition of African Entrepreneurship Award (www.African-Award.com), an initiative that aims to support African entrepreneurs, and has encouraged, since its launch in 2015, 33 entrepreneurs who were supported by more than 300 African and Global Mentors.

Following the final stage, 40 finalists from 19 African countries were brought together for a bootcamp in Casablanca on December 6 to 10, 2017. A concluding ceremony was organized on December 11 to reward the most impactful sustainable projects in three categories of the program: education, environment and unchartered fields.

For the third edition of African Entrepreneurship Award, 12 winners from 9 African countries shared an envelope of 1 million dollars.

First PRIZE: $100 000
Category : Education
Louise Williamson – South Africa: Sustainability Professionals, Startup « Sustainable fuel ovens for schools in remote areas »
Category: Environment
Allen Kimambo – Tanzania: Zaidi General Enterprises, Start up
Paper collection and recycling to protect the environment
Folashade Amusa – Nigeria: VicFold Recyclers , Start Up
Waste collection, processing and recycling with reward system for households
Adan Mohammed – Kenya: Ecodudu, Start Up
Animal food production from insects and larva.
Sylvester Mujakperuo – Nigeria: Saint Michelles and Joey Limited , Start Up
Transforming used paper and cardboard into new paper products
Kwame Ababio – Ghana: Green Afro Palms , Start Up
Optimizing the cultivation and use of palm oil
Category: Unchartered Field
Flavien Simo – Cameroon: Save Our Agriculture, Start Up
Production of aquaponics kits that combines fish farming and plant farming.
Paul Bartels – Afrique du Sud: Waterbok Community Fire-Fighting Cart, Prototype
Fire-fighting Cart

INNOVATION PRIZE: $50, 000
Meryam El Ouafi – Morocco: Green Engineering Mission , Prototype
New irrigation technology to optimize water consumption
Badr Idrissi – Morocco: Atlan Space, Start Up
Smart drone use to combat illegal fishin
Geoffrey Ssekatawa –Uganda: Brent Technologies, Start Up
Lubricant collection and recycling
Christelle Kwizera –Rwanda: VOMA Groundwater Solar Kiosks, Start U
Drinking water purification and distribution to vulnerable communities


Habari Zaidi
Zaidi Enterprises – Recycling Company
ZAIDI GENERAL ENTERPRISES
Paskali



 
Asee.. Great deal, nitajitahidi siku moja nije kuwa mimi. Hayo ndiyo mambo ya msingi vijana kushiriki kushindania, sema application ya hiyo kitu ni muhimu, isiishe tu mtandaoni na kwenye karatasi.
 
Lazima atakuwa mtoto wa kishua tu huyo. Maana familia za hali ya kawaida ni aghalabu sana kukuta kijana anaji engage kwenye hayo mambo.
 
jamaa ni wa kawaida sana si ajabu hata wewe unamzidi maisha ya kwao... ila ni ana passion na ujasiriamali sana.. na ni mtu wa safety enzi ameajiriwa bollore.... sasa hayo mambo aliyoshinda ni taaluma yake...

enzi za ajira mshahara wote anawekeza kazini anakaza kama amefunga swaumu vile...

kushinda tuzo za biashara ni rahisi sana kuliko kupata ajira... sababu washiriki sio wengi.. watu wengi vichwa wameajiriwa so huwa hawashiriki hizo ishu... na wafanyabiashara wengi hawana shule so mambo kama hayo wanapotezea kushiriki.. so mnajikuta mnaoshiriki wachache...

so ukiwa na idea tofauti tu na wenzako unashinda wewe.....



Lazima atakuwa mtoto wa kishua tu huyo. Maana familia za hali ya kawaida ni aghalabu sana kukuta kijana anaji engage kwenye hayo mamabo.
 
Back
Top Bottom