peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,799
- 21,395
Hali ya Barbara za Halmashauri za wilaya maeneoya vijijini NCHINI ni mbaya. Kuna uwezekano TARURA haijapewa fedha kuanzia July 2020 Kwa ajili ya bajeti ya 2021/2022. Au serikali inasubiri Nini kutatua changamoto ya Barabara za vijijini? CCM imenyamaza kimya ilihali waliomba kura na kupewa kura za wizi nchi nzima.