Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

Hawa alshabaab na bokoharam wanaharibu imani za watu kwa kisingizio cha dini.

Na kibaya zaidi wamekua chombo cha kufanya fujo kwa kila mwenye nia mbaya kwa nchi nyingine kwa kuaminishwa wanapigania imani huku wanaowatumia wakifaidika kiuchumi.

Mwenyezi Mungu awape viongozi wa dini imani ya kweli na macho ya kuona hili na kukemea na kuongoza vijana wao kuepuka huu mtego

Mungu ibariki Tanzania
Amen.
Jana tuu nimesikia dw wanasema maeneneo yanayochimba gass mpaka mwa msumbiji wameshambulia sasa sijajua kama ni upande wa tz au laa bado nafuatilia
 
Mimi nashangazwa kwamba mtu anaslimu mwaka wa 2015 na miezi kadhaa huyo ashaenda vita somalia.

Jamaa kama huyo anaelewa dini kweli? Ama ni damu moto tu.
Kwa mafunzo ya kisomo anachokula kwa kweli hata mwezi tuu ameiva tena ana kuwa morali balaa
 
Itabidii serikali ya Kenya imewatch hawa watanzania wanaoingia Kenya kwa makini sana.
mpigwe tu si mekubali neo colonialist agenda na kuweka hayo makambi ya kivita...wanajua wakifanya ndani lazima wachapwe...tatizo wakenya mnapenda sana hifadhi matapishi ya tanzania mara Tundu lissu,mara lema ,na wengine wakati hujawahi sikia Tanzania tumemiwfadhi mwiguna mwiguna
 
Kwaiyo Ni haki yenu kupigwa na Al-shabab kisa wanatumia VBIED?

kwaiyo hamna uwezo wa kuzuia VBIED
I repeat compare oranges with oranges..usilinganishe watoto wa congo na alshabaab.
Hivi unajua VBIED ndo nini ?...
 
Hili shambulio lilionesha jinsi gan KDF ni dhaifu walishambuliwa kwa nusu saa wakapoteza askari battalion nzima (hapa walikuwa wanaruhusiwa kujibu mashambulizi)

jwtz walishambuliwa kwa masaa 13 wakapoteza askari 14 (jwtz walikuwa hawaruhusiwi kujibu mashambulizi zaidi ya kujihami) na kubwa zaidi hawakuacha kambi itekwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mumeshambuliwa kw mapanga kisha bado mkachapwa
 
Hahaa compare oranges with oranges.. mnashambuliwa na mapanga kwa masaa 13 ?.hahaa....Usilinganishe impact ya VBIEDs na sucide bombers na mapanga.
Mi nawashangaa, mapanga aisee alafu wameketi massa yote hayo walsti elade walianza suicide bomber vehichles, RPGs za kumwaga kona zote za kambi..
 
I repeat compare oranges with oranges..usilinganishe watoto wa congo na alshabaab.
Hivi unajua VBIED ndo nini ?...
Mwambie huyo
Wamuulize marekani kilichomkuta kule iraq baada kutumiwa vifaa visivyopungua kumi kw mpigo tena walikua wamepewa taarifa..
Defence systems zote wanazojisifua nazo ile siku hazikufua dafu
 
Kwa hiyo vidume vi-5 vilipiga battalion nzima ya KDF na US-Navy wa-3? Hiyo ni madaharau aisee!
 
Jamaa walivamia upande wa airstrip...hapo ndipo walipiga Rpg na kuwapata wamerikani wawili wakiwa wamelala ndani ya ndege fulani inayo tumika na CIA contractors kwa operations za kijasusi Somalia
.Huyo jamaa mwingine was killed in the Ensuing gunfight.
Alafu Kama ilivyo kawaida ya CIA contractors they don't trust local security since hawataki classified Intel to fall into the wrong hands ...so the airstrip at the time of the attack was been manned by Americans ..Kdf only came to help them out.
Unabishana na mafala hawaelewi protocols zozote za waAmerikani au CIA missions.

Wanasoma news za NewYork Times who peddle umbea kama za bongo. Bado hawajui kuna Camp Simba ambapo wanajeshi wanaishi and Manda airfield.

Kdf did not have any aircraft at the airstrip, zilikuwa za CIA na NIS tu.Airstrip yenyewe was not protected,just a fence. CIA wakifanya mission zao hawakuhusisha wakenya ndo maana waliouwawa ni marubani na air traffic controller.
 
Hawana jeshi Kenya, they have gays in uniform
Umesahau pale mtwara wavunja tofali mlichinjwa kama kuku na wengine wenu kuchana mbuga 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Basi kdf na tpdf ni kitu kimoja🤣🤣
 
Back
Top Bottom