Mtanzania akutwa amekufa ndani ya nyumba yake huko Minnesota.

Nimejulishwa ni yule Swalehe Msuya aliyekuwa gazetini, "Daily News," na pia kwamba Professor Mbele ndiyo huyo aliyemzungumzia na walifahamiana sana.

Alikuwa na umri wa zaidi (kidogo) ya miaka sitini. Namkumbuka miaka ile alipokuwa "Daily News."

Mtapewa taarifa zaidi.
Asante kwa taarifa poleni wafiwa!
 
Kweli kabisa,Swalehe Msuya amefariki. Lakini sijui ni nani hasa. Nafahamu nilipokuwa Tambaza Sekondari,alikuwepo Swalehe Msuya pale,ambaye alikuwa prefect.
 
Swalehe Msuya amefariki. That can be confirmed. Lakini I don't know who it is exactly. Nafahamu alikuwepo Swalehe Msuya mmoja ambaye alikuwa anasoma Tambaza Sekondari.alikuwa prefect.
 
poleni wafiwa, pia mods mngetusaidia tupate kaeneo ka tanzia ili kuenzi waliotangulia mbele ya haki
 
Swalehe Msuya amefariki. That can be confirmed. Lakini I don't know who it is exactly. Nafahamu alikuwepo Swalehe Msuya mmoja ambaye alikuwa anasoma Tambaza Sekondari.alikuwa prefect.

Swalehe Msuya uliyemtaja alikuwa lini Tambaza?

Nilikuwa Tambaza High School, Form V - Form VI, 1969 - 1970, lakini sikumbuki kulikuwa na prefect mwenye jina hilo.

Imethibitishwa kwamba Swalehe Msuya aliyefariki kule Minniesota, USA, ni yule aliyekuwa mwandishi wa habari, "Daily News." Waandishi wenzake walio hai wanamkumbuka. Na nimesikia kwamba mdogo wake labda atakwenda Minnesota kuleta maiti ya marehemu Tanzania.

Nilipomwona kwa mara ya kwanza alipokuwa mwandishi pale gazetini, ilikuwa hiyo ndiyo ya mara kwanza nilipoiona sura yake. Angekuwa shuleni na sisi Tambaza, 1969 - 1970, hasa kama prefect, ningemkumbuka. Na kama alisoma Tambaza, ilikuwa kabla ya miaka hiyo.

Haiwezekani marehemu huyo alikuwa Tambaza baada ya 1969 au 1970. Umri wake haulingani na wanafunzi waliokuwa Tambaza baada ya 1969 au 1970. Pia marehemu alikwenda chuoni, Mlimani, kabla ya mimi kwenda kusoma pale, ambako sijui alisomea nini ingawa alimaliza masomo yake na kupata shahada yake - pia sijui mwaka gani.

Umri wa marehemu ni zaidi ya miaka sitini, ingawa sidhani ni zaidi ya miaka sitini na tano.

Bado naikumbuka sura yake, na nilipomwona Dar, nilijua alinizidi umri.
 
TAARIFA YA VIKAO VYA MSIBA WA NDG:SWALEHE MSUYA.
MINNEAPOLIS - MINNESOTA.

Friday:09/25/09 12:16pm

TAARIFA YA VIKAO;
Kama mnavyojua shughuli ndiyo imeshatukuta.Tunaomba Watanzania wote na marafiki wa Jumuiya kukusanya nguvu kuwezesha kusafirisha nyumbani mwili wa marehemu Swalehe Msuya.

Kutakuwa na Vikao viwili kwa ajili ya Matayarisho.

1:Kikao cha kwanza ni kikao cha kupanga Mikakati (Strategy Meeting)
a):Leo Ijumaa saa 12:00 jioni nyumbani kwa Mr/Mrs Charles na Eunice Semakula.
b):503 Shadyside Circle,Hopkins,MN 55343

2:Kikao cha Pili ni kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusafirisha mwili (Fundraising Meeting).

a):Kesho Jumamosi saa 9:00 Jioni kwenye Ukumbi wa Shule ya Concordia Academy,Roseville.

b):2400 Dale Street North,Roseville,MN.

c):Account Maalum kwa ajili ya Michango;
Bank: Wellsfargo.
Name of the account: Charles Semakula.
Routing number: 091000019.
Account number:5893103886.

**:Unaweza kuwasiliana na watu wafuatao kwa Taarifa zaidi;

1:Charles 952 465 1130
2:Santos 612 229 2250
3:Joyce 612 735 1634
4:Eunice 651 214 8345
5:Gracious 763 439 5626

Kwa Hisani ya: Umoja Society,Minneapolis.
 
Last edited:
With great sadness, the Tanzania community in Minnesota is announcing a sudden death of Swalehe Msuya who passed away in his Minneapolis home last week. The Late Mr. Msuya had been receiving regular dialysis from Hennepin Medical Center. The deceased was an accomplished journalist and a radio personnel in Tanzania and Minnesota. He recently authored a book called "Kitchen Party" about love, marriages and family in rural Africa.
Considering that the deceased did not have an immediate family member in the US, the organizing committee would like to ask for your help to raise about $12,000 to $15,000 needed to transport his body back to Tanzania next Friday, 10/2/09
A bank account has been opened for this specific purpose, as detailed below;

Wells Fargo Bank
Routing # 091000019
A/c # 5893103886
Please make a check payable to Charles Semakula

The next meeting will be next Wednesday, 9/30/09 at the residence of Charles and Eunice Semakula, 503 Shadyside Circle, Hopkins, MN 55343.
 
Back
Top Bottom