Mtanzania akamatwa Kenya na shehena ya silaha!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania akamatwa Kenya na shehena ya silaha!!!!

Discussion in 'The Lounge' started by Sajenti, Dec 17, 2009.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Raia mmoja wa Tanzania amekatwa katika mji wa mombasa nchini kenya kwa tuhuma ya kukutwa na shehena ya silaha za kivita. Mtanzania huyo alikamatwa pamoja na raia sita wa somalia. Habari za kipolisi zinasema watu hao walikamatwa baada ya polisi kupata taarifa za watu kuwa na shehena ya silaha za kivita zilizokuwa zimefichwa katika kisiwa cha malindi. Bado jina la mtanzania huyo halijapatikana na polisi wanaendelea na uchunguzi... Source KBC1 News bulletin.. 16 Dec 2009.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  yaah labda tusaidiane kupata jina lake.
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ok!!
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hakuwa peke yake jumla ni 6 including 5 somalia z
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hii incident inanikubusha ile kesi ya wamasai na wasomali
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kidogo nihisi MWAKALINGA!:D
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwa nini kichwa cha habari kimeongelea U-TANZANIA badala ya Watu SABA wakamatwa na Shehena ya Silaha? Au U-SOMALI hautambuliki?
   
 8. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2013
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  watz 2po so special.
   
 9. a

  agosti 8 JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2013
  Joined: Jan 31, 2013
  Messages: 3,578
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ubaguzi..hata katika uwiano tu umeshindwa kufikiria?
  Ikiwa ni wasomali 6 na mtz 1, sasa huoni wapi unapaswa kuweke mkazo?
  Inaonekana Watanzania ni watu bora sana ndo maana mleta uzi ameona apige yowe?
  Nauliza tu.:target:
   
Loading...