Mtanzania aiuwa familia yake na ajiuwa yeye mwenyewe huko west virgnia amerika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania aiuwa familia yake na ajiuwa yeye mwenyewe huko west virgnia amerika

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 8, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Man Wanted In West Virginia Killings Found Dead In Dauphin County

  38-Year-Old Accused Of Killing Wife, 10-Year-Old Boy

  SUSQUEHANNA TOWNSHIP, Pa. -- Police found a man accused in the killing of his wife and child inside a home in Susquehanna Township, Dauphin County, early Thursday morning. Bonyeza hapa kuona nyumba yake IMAGES: See Dauphin County Home <table class="clkImgTbl" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="180"><tbody><tr><td valign="top"><table border="0" cellpadding="8" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td valign="top">
  [​IMG]
  [​IMG]
  Abraham Allen More

  </td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
  Officers found Abraham Allen, 38, dead on the second floor of the home on Lescure Court. He had hung himself, police said.Allen is accused in the killing of Melinda Nicole Brown Allen, 31, and her 10-year-old son, Ethan James Michael Brown in West Virginia. Another child was not harmed. A knife was used in the brutal killings, police said.His car with West Virginia plates was found about a block away, police said. Officers have confiscated the vehicle, but did not say if they found the weapon used in the killings.Officers tried to make contact with Allen in the home, and later decided to throw tear gas inside.The couple had previously lived in the Susquehanna Township home that is now vacant.An incident where Allen threatened his wife at the home was investigated, but the resolution is not certain, police said.

  Source: [video]http://www.wgal.com/news/24939350/detail.html[/video]

  Huyu ni Mtanzania anaeitwa kwa jina la Amuri mtu wa Tabora Tanzania, aliyewahi kuishi istanbul,Turkey mwaka 1992 kwa wale waliowahi kuishi istanbul Turkey miaka hiyo

  wanamjuwa kwa hilo jina maarufu la (Amuri). Kwa hapa Dares-salaam alikuwa anakaa ilala amekutwa ameuwa mke wake wa Kimarekani na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 10 na kisha

  akajiuwa yeye mwenyewe kwa kujinyonga. Inasikitisha sana na sababu za kuiuwa Familia yake na yeye mwenyewe kujinyonga mpaka sasa hazijapatikana na mambo yenyewe hayo yalitoke mwezi wa tisa mwaka huu. Bonyeza hiyo link utapata maelezo ya Polisi wa Amerika bonyeza hapa Man Wanted In West Virginia Killings Found Dead In Dauphin County - Pennsylvania News Story - WGAL The Susquehanna Valley
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mmmh!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nadhani huyu ndiye yule aliyechangiwa mamilioni ya kuzikwa huko marekani (kama sikosei)

  Haya bana...
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,653
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  NDUGU WATANZANIA,
  Kama mlivyofuatilia kisa cha ndugu yetu (Amouri)ama kama ajulikanavyo kwa jina la Abraham Allen aliyefariki 9/9/2010 huko Harrisburg,PA.
  Taarifa tulizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba kutokana na uchache wa muda na ugumu wa ukusanyaji wa michango kutoka kwa wanafamilia kule Tanzania,uwezekano wa kusafirisha mwili wa marehemu ili akasitiriwe nyumbani umeshindikana na hivyo familia ya marehemu imeomba asitiriwe hapa hapa.Kwa mila na desturi zetu jumuiya za waTanzania zimeamua kukamilisha taratibu za mazishi ya marehemu Amouri katika taratibu za dini yake ya kiislam.Ili kufanikisha taratibu hizo kiasi cha Dola elfu tatu ($3000.00)kinahitajika haraka iwezekanavyo.
  Jumuiya ya Watanzania ya New York na vitongoji vyake(New York Metropolitan Tanzanians Community) ikishirikiana na Jumuiya ya Waislamu ya washington(TAMCO)pamoja na Ubalozi wetu wa Washington unawaomba Watanzania popote walipo kuwasilisha michango yao ili tuweze kuusitiri mwili wa Marehemu.


  TUMA MCHANGO WAKO KWA,
  TANZANIA MUSLIM COMMUNITY,
  CAPITAL ONE(CHAVE CHASE BANK)
  ACC # 0944380077.

  KWA WAKAZI WA NEW YORK WASILIANA NA,
  HAJJI KHAMIS-347-623-8965
  SHABANI MSEBA-347-712-8539.
  angazo  [​IMG]  KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA,
  YACOB KINYEMI 202-629-7841
  MGANGA 202-374-0988
  SHABANI MSEBA 347-712-8539

  ASANTENI.
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,653
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Eti Muslim Community?! Wizi mtupu! Dola 3000 ya nini kumzika muuaji (tena wa mwanamke na mtoto) kama huyu! Atazikwa bure Marekani na manispaa/jiji bila ya michango. Niliposoma tangazo hapo juu nilidhani labda ni Mnugu fulani (Abraham Allen) aliyesilimu (Amour) kumbe ni msanii wa pwani tu kwenye harakati za dili za makaratasi.
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Rightly speaking hata kiislamu hafai kusaliwa wala kufanyiwa matanga. Si waachie manispaa wafanye kazi yao, ya nini kunitiana hasara. The hard fact!
   
Loading...