Mtanzania afungwa jela London kwa kosa la kupost maiti facebook

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,009
Kweli jasiri haachi asili maana huku kwetu watu hukimbilia kupost picha maiti hata zikiwa uchi ili mradi waonekane wametoa breaking news,haya bwana mwaikambo enjoy your jail stay



5507177_978508_jpeg580c0d0ab04f99b21fb48f8d885cdf88


Neighbour who opened Grenfell Tower body bag and posted pictures of dead victim on Facebook is jailed for three months
  • Omega Mwaikambo, 43, posted a photo of a dead Grenfell Tower victim online
  • Mwaikambo, who lives near the tower, shared the photographs on Facebook
  • Judge Tanweer Ikram said: 'The dignity of the dead must always be respected'
By Stewart Paterson For Mailonline
A neighbour who posted pictures on Facebook of a dead victim believed to have leapt to his death from the Grenfell Tower inferno has been jailed for three months.

Omega Mwaikambo, 43, was hauled before the courts after posting the distressing picture of the body bag and then close ups of the male victim after opening it on Wednesday morning.

He posted one video and two pictures of the body bag with the man inside and then later five pictures of the victim's face and body after opening it to look inside.


Today at Westminster Magistrates Court he pleaded guilty to two counts of sending by a public communications network an offending, indecent or obscene matter.

416BF8DD00000578-0-image-a-4_1497634600672.jpg


+5
Omega Mwaikambo, 43, is pictured being arrested by police officers after he posted images of a Grenfell Tower victim on Facebook

4179D73300000578-4611862-image-m-31_1497635844915.jpg

4179DC3F00000578-4611862-image-m-33_1497635862707.jpg


The victim Mwaikambo photographed is believed to have jumped from a higher floor within Grenfell Tower



Read more: Grenfell Tower: Man arrested for posting picture of victim | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 

Attachments

  • 4179D73300000578-4611862-image-m-31_1497635844915.jpg
    4179D73300000578-4611862-image-m-31_1497635844915.jpg
    10.2 KB · Views: 159
Mtoa mada kichwa cha mada na habari ya ndani vitu viwili tofauti.

Uandishi wetu bado unatia shaka.

Kichwa cha mada..Amefungwa jela...Na taarifa ya ndani anashikiliwa na Polisi kwa kushukiwa kutuma picha ya marehemu ktk facebook aliyekuwa kwenye floor yake kinyume na sheria ya mawasiliano ya vyombo vya kielectroniki.
 
Mtoa mada kichwa cha mada na habari ya ndani vitu viwili tofauti.

Uandishi wetu bado unatia shaka.

Kichwa cha mada..Amefungwa jela...Na taarifa ya ndani anashikiliwa na Polisi kwa kushukiwa kutuma picha ya marehemu ktk facebook aliyekuwa kwenye floor yake kinyume na sheria ya mawasiliano ya vyombo vya kielectroniki.
Angalia chini nimeweka update,keshafungwa miezi mitatu
 
Nauliza mnaoishi London. Hivi lile gorofa lililoungua ni wahamiaji tu ndio walipangisha Kwasababu hamna muingereza. Haikuwa hujuma kweli??!
Wapo waingereza waliokufa,ingawa ni wachache kwa sasa.Idadi kamili ya waliokufa haijapatikana ,ingawa inasemekana waliokufa ni 30 na wengine 70 haijulikani walipo,ila wanadhaniwa wamekufa na humu watakuwepo wazungu asili.
 
Nauliza mnaoishi London. Hivi lile gorofa lililoungua ni wahamiaji tu ndio walipangisha Kwasababu hamna muingereza. Haikuwa hujuma kweli??!
Umesoma wapi kulikuwa hakuna waingereza kaka?....lile ghorofa lilikuwa na wapangaji wa council pamoja na waliokuwa wamenunua nyumba zao,hivyo hata waingereza walikuwepo tena wengi tu na hata kama ulikuwa unaangalia sky news walikuwa wanahojiwa . ..ndani ya lile tower kulikuwa na flat za chumba kimoja na viwili. ...Flat nyingi kama zile huwa zina vyumba vidogo sana kiasi kwamba ukiwa na familia kubwa basi lazima utahama tu. .......na watu wengi hawapendi kukaa kwenye tower blocks hivyo akiwa na watoto wawili tu wa jinsia tofauti basi council wanakutafutia nyumba ndio maana unkuta watu wengi wanaoishi kwenye hizi tower ni watu wa hali ya chini au wanafuata urahisi wa kodi.
 
Kuna watu wanaudhi sana. Mtu kapata ajali, wao fasta wanarusha picha mtandaoni na wenye magrupu ya whatsapp bila hata kuonya kuwa picha ni graphic. Ni ushamba na kukosa utaarabu.
 
Tabia hii ni mbaya sana lazima kuwe na heshima kwa tukio lolote
Ndugu ya marehemu ambaye ni mkimbizi toka Syria ameona hizo picha.
It's a shame
 
Fundisho kwa mabishoo wanao post hovyo picha za watu.
Kama picha za kawaida taratibu za kupost zimefuatwa sidhani kama kuna shida labda kama Kuna ambayo hatuyajui tufahamishe Tafadhali itusaidie.

Ila nafikiri media haziruhusiwi kupost picha za Maiti,mtu anauwawa Mara nyingi picha zinazoonyesha damu ya mwanadamu ikimwagika.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom