Mtanzania afariki dunia Muscat kwa ajali ya gari

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Juliana, dada wa kitanzania alifariki dunia usiku wa tar 31 Dec huko Oman.

Juliana ambae alikuwa akiishi Upanga amekuwa akiruka kama mfanyakazi wa ndege wa ndani wa kampuni ya atcl kabla ya kubahatika kupata ndege ya oman air;dada huyu mpole mcheshi amekufa akiwa kwenye tax akiwahi flight yake.

Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.

Maiti ya dada July imetua leo na Qatar Airways na kuelekea Muhimbili kuwekwa kwenye jeneza atakalozikwa nalo kabla ya kupelekwa kukesha nyumbani mama mzazi ambae anafanya kazi UNDP.

Mungu ampr roho ya rehema na uvumilivu. Mazishi yanafanyika kesho Kinondoni baada ya kuagwa pale nyumbani
 
R.I.P Juliana. Pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu.
 
Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi~AMEN
 
R.i.p

lakini next time mwanahalisi uwe deep kueleza habari kama hii.

Headline ni tofauti na habari yenyewe. Ujaelezea ilikuwaje na inaonekana ni kama taarifa tu ambayo haitaji undani wa marehemu ili kama baadhi yetu twamfahamu tuambatane nae kwenye safari yake ya mwisho.
 
sawa mkuu nilikuwa mmoja wa waliopagawa na msiba wa dadayetu

thnx
 
Her name is Julieth Shangwe Mbelela and not Juliana and she was buried this evening at Kinondoni cemetaries. She died when the taxi she board was knocked from behind and the taxi hit a lamp post in a highway in Muscat.
 
Back
Top Bottom