Mtanzania Achomwa Kisu Ireland | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania Achomwa Kisu Ireland

Discussion in 'Matangazo madogo' started by X-PASTER, Jan 9, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kijana wa Kitanzania aliyefahamika kwa jina la Ali Ibraham, alimechomwa kisu na kupoteza maisha tarehe 27th December 2008

  Marehemu anayekadiriwa kuwa na kati ya miaka 17 na 25 amekumbwa na mauti hayo ndani ya Hostel ya Sarsfield Inn kwenye mji wa Limerick Ireland.

  Habari za kuaminika zinasema kwamba Mtanzania huyo alikumbwa na mauti hayo baada ya kutokea ugomvi kati yake na kijana wa ki'Morocco aliye julikana kwa jina la Farah Redouane mwenye umri wa miaka 21.

  Mmorocco huyo amefunguliwa kesi ya mauaji na ataendelea kukaa remande mpaka tarehe 30th Jan 09, kesi yake itakapo sikilizwa tena.

  Marehemu amezikwa kwenye makaburi yaliyoko Dublin siku ya tarehe 2nd Jan 09

  M'Mungu ailaze roho ya marehemu Mahali Pema Peponi.

  Hakika sisi ni wa M'Mungu Na kwake Ndio Marejeo.

  Amin
   
 2. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 18,438
  Likes Received: 59,361
  Trophy Points: 280
  May his soul rest in Peace!

  Inasikitisha kuwa marehemu ni mtanzania ila sababu aliseek asylum kama M Somali basi inachukuliwa hiyo ndio nchi yake.

  READ ARTICLE BELOW


  Murder victim remains in Limerick hospital due to identity delay

  Published Date: 31 December 2008
  By John Hogan  THE body of the Somali teenager murdered in Limerick last weekend was still in the Regional Hospital this Wednesday as Gardai encountered delays in officially confirming the asylum seeker's identity.

  Ali Ibrahim Lal died on Saturday after sustaining fatal knife wounds to the stomach in an altercation at the Sarsfield Inn. The 17-year-old was a resident at the hotel which has taken over by the Reception and Integration Agency at the start of the summer for use as an asylum seekers hostel.

  Farah Redouane, a 21-year-old Moroccan national who was also a resident at the asylum seekers hostel, was charged with the murder of the African on Sunday evening.

  It is believed that Mr Ibrahim Lal had been living at the hostel without any members of his immediate family and Gardai had to contact a cousin of his who was living in London to identify the body.

  Although the cousin confirmed that the body was that of Mr Ibrahim Lal, the remains cannot be returned to the family for burial until official identification documents are obtained.

  "Having the cousin identify the body was only the first part of the process," a spokesperson for Henry Street Garda said. "The coroner is legally obliged to have documents such as his birth certificate before he can release the body. If this was an Irish person, we could just get on to the General Register office but it's a bit more difficult here."

  Mr Ibrahim Lal was a Muslim and Gardai at Henry Street have been liaising with members of the Islamic Foundation of Ireland in Dublin in relation to the 17-year-old's burial.

  It remains to be seen whether his final resting place will be in Ireland or Somalia.
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Pheewww! tunashukuru keshazikwa huko huko Ireland, maiti ni maiti tu haina utaifa.
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Feb 11, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Poleni sana watanzania/ somali wote kwa msiba huu....... niulize tu swali tumejuaje kama ni mtanzania? maana report inasema ni msomali au kuna sehemu sijaielewa vema? si mnajua tena kiinglish
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mwaj one, hapa naona hizi taarifa mbili zinatuchanganya....X Paster anasema huyu alikuwa ni Mtz lakini report aliyoiweka CARRIE ambayo imetayarishwa na Horgan inaonyesha kuwa huyu alikuwa ni Msomali aliyepewa hadhi ya Ukimbizi huko Ireland!

  Ok may be huyu jamaa alijifanya Msomali ali aweze kuingia Ireland kama mkimbizi, manake si wabongo can do anything kufanikisha azima zetu! Vinginevyo pana mkanganyiko!
   
 6. share

  share JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2009
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,293
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Mkuu si sababu za kiinglish. Umetaka kutuchekesha tu mkuu. Unakinyaka ipasavyo. Lakini message "sent". Wapo wengi watz nchi za wenzetu ng'ambo walioingia kimjini. Binafsi katika pitapita yangu huko nchi mbalimbali nimekumbana nao tele. Wengine wajiite wakongo, wengine wasomali, wengine warwanda, nk. ili mradi tu nchi fulani Afrika ikiwa not politically stable, basi hilo ni dili kwa vijana wa mujini kutumia jina la nchi hiyo kutua majuu. Wamefikaje huko! wanajua wenyewe. Wengine wamejiingiza kwenye utapeli wa aibu hukohuko majuu. Sasa hapa mtoa mada atusaidie. Alijuaje huyu marehemu kuwa ni mtanzania? Inaonekana ana nyeti fulani.
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  M-Irishi, M-Tz au M-Somali does not matter any more, Tumehabarishwa kuwa ameshapumzishwa kwa amani huko Dub, then tumuombee rehema apumzike kwa amani

  Amina
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Feb 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Thanx Baba yake na Enock...!

  Case closed!
   
Loading...