Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,055
- 74,465
We umeona wapi mtu aliekufa akavuta bangiJitu zima unavuta.???
Domo kama kapu la magimbi
We umeona wapi mtu aliekufa akavuta bangiJitu zima unavuta.???
Uwiiiiiiiii!!!!Wanuka kubwiru kama mfuko wa spana
Wa juu yangu???Huku tuki refresh mind na pilikapilika za kusaka tonge tupumzike kwa kutaniana kidogo
Mtanie wa juu yako hadi aombe poo!!
nywele kama shina la mgomba...Muone ulivyo domo zege hadi makandarasi wanakutafuta
Muone domo kubwaa kama sahani yakuanzia maishaKwenu wachafu mpaka Mende wanavaa kandambili!
Mwone kwanza mdomo unanuka kama shimo la choo!
ukimwi alinipa mamako.Princ leo umekumbuka kumeza dawa zako za ukimwi
Tumbo kama mkoba wa kinyozi.
Unamtisha na VIDOLE KAMA TANGAWIZIZa saiz dada!
kamtishie mganga aliye nunua uchawi amloge mbuziUnamtisha na VIDOLE KAMA TANGAWIZI
Haaaahaaakamtishie mganga aliye nunua uchawi amloge mbuzi
We kinjekitile70 ushuzi kama bigulakamtishie mganga aliye nunua uchawi amloge mbuzi
Billie mafwefwe weweWe kinjekitile70 ushuzi kama bigula
***** mafwefwe ndo nini aise nimetukanwa tusi jipya mwaka 2018Billie mafwefwe wewe
We kibokoMuangalie kwanza
kwenu kuchafu hadi mende anaenda choon na ndala
***** mafwefwe ndo nini aise nimetukanwa tusi jipya mwaka 2018