Mtani nakukumbusha tu

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
288
128
Mtani Petro alimkana Yesu, nae aliitwa shetani na yesu ila Petro
alijenga kanisa, nakupa angalizo yule alie saliti mwakajana kwa sasa anajenga msingi imara naamini 2020 atahamia kwenye nyumba ambayo itaku imara.

Mtani kuwa makini uki paniki kumfwatisha yeye wewe utageuka fisadi ili kuwafurahisha wanao kushangilia kwa nguvu na unao walazimisha wakupende.
Mbona kaka yangu alikua mbabe watu wanampenda hadi leo

Alafu mtani kati ya wewe na mwalimu yule wabutiama nani ni chaguo la Mungu na nani nichaguo la shetani?Mtani huchelewi kukasirika mengine jifanye hujayasikia sio kilakitu hutaki kikupite hawa ninvijana wananguvu nyingi yakuongea.Mtani vijana wako unawapa shida wanatumia povu jingi kusafisha mule unamoteleza.

Mwisho mtani mbona yule mama simsiiki au haonekani kwenye TV kubana matumizi?Angalia isije nae akachukua mshahara bila kazi akawa hewa.
 
Sawa Mmakonde Mjanja, naamini mtani wako amekuelewa, labda tu nikuweke sawa kwenye mambo mawili matatu: Unapoandika Yesu, zingatia herufi kubwa. Pia, Yesu hakumuita Petro shetani, alikuwa anamuadress shetani aliyemuingia Petro...kwa lugha ya jamaa wa kitabu, Petro alikuwa 'kiti' wakati anayasema yale.

Ama kuhusu vijana wa mtani wako, hawa ni sheeeeeda! Wanajitoa fahamu kwa kuwa wanaamini fadhila haiozi, huenda mtani wako siku moja akawafadhili, lakini hawamjui alivyo na hila mtani wako. Mtani wako anampa mtoto chakula cha moto mkononi akijua fika moto ukimchoma atakitupa, hapo yeye anajivua lawama...nilimpa, ametupa.
 
Sawa mkuu
Huyu Mtani kweli anatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha anae msema vibaya anapotea
.
 
Mzaa mzaa hutumbua usaaa
Mtani chukua hiyo nasaa
Kwani matatizo ndo hayoo yazidi kujaaa
 
Back
Top Bottom