Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,167
- 1,403
Game ya mtani jembe nyingne lakini hii ndani ya doha qatar kati ya real madrid v paris st germain (psg) leo saa 11 : 45 jioni hii. Usikose kwa wale wenzangu na mimi watumiaji wa al jazeera sports channel. Kumbuka game hii ni ya mdhamini wa pande zote mbili yani fly emirates