Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

Wivu mke wa tatu au wivu gari kuzawadiwa??
Wewe mtu umjui na Wala ujawahi kuishi nae lakini unajifanya unamfahamu kwa kujifanya unajua mambo yake binafsi wewe umejuaje kwamba lile gari alimiliki Ni Kiki tu?
 
Gari ilisharudi kwa wenyewe. Mke wa tatu kiki ya nini,tofauti na mwenzie huyu wa esma inaonekana hapendi kupelekeshwa na domo
Wapenda kiki wale eti alisema hakulipenda kaagiza lingine! Ila na ndoa yake nayo imepoooooza utafikiri ilipata stroke siku ile ukumbini kulikoni??
 
Wewe mtu umjui na Wala ujawahi kuishi nae lakini unajifanya unamfahamu kwa kujifanya unajua mambo yake binafsi wewe umejuaje kwamba lile gari alimiliki Ni Kiki tu?
Mwambie alitumie ata leo tulione shida ikwapi na ilo povu la mshindi
 
Watakua wanapewa pesa kidogo sana hadi unapewa zawadi ya gari badala ya kununua kwa hela zake? Waanze kuwapa hati ya viwanja ili kuonyesha kuwajali au watoe gar la ofisi watangazaji wawe wanapitiwa vituon na kurudishwa nyumban
 
Kwanini usianzishe hiko kitu wewe?
 
Me Sina tabu na mtu nashangaa wewe kuwa na tabu na maisha ya mtu ambaye hata umjui zaidi ya kumuona kwenye social media.Wabongo punguzeni Sana ujuaji.
Asa povu lote la nini na umefuatilia vipi ukahisi simjui, khaa hii jf relax unalia nini sasa
 
Back
Top Bottom