Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

Sorry for ..

Always short cut is a long cut lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sio kila post lazima uchangie...
Sasa huyo Binti hapo kaiba nini mpaka uje na Kanga Begani na kuandika matapishi ulioandika hayo?

mtake radhi,wewe ndo umekosea kaka umeitafsiri methali kama ilivyo!wahenga walimaanisha kila jambo baya lina mwisho wake au kila mtenda maovu kwa kificho kuna siku ataumbuka.Umekurupuka bro.
 
hongera KRA kwa kazi kubwa mliofanya! habari gani kwa TRA Sijawahi sikia ata sikumoja kwenye custom checkpoint wamezuia mihadarati japo naskia wana drugs unit!
 
Dah!!my Diva....amefanya kazi Mwananchi Communication,na tulifahamiana wakati huo mi nikifanya kazi SDV pale Opposite na Mwananchi...baadae kama sikosei alikwenda "Mawingu Fm",akaja kwenda Sweden,last Xmas alinambia kaja bongo,and we met to exchange ideas!loooh sikudhania!lakn huyu atakuwa anatumiwa,yeye hana ubavu huo...dah kweli mdhaniaye
 
Pole yake,,,,ila naskia watu wa powder wana mtandao mpana sana watamtoa nyavuni,,,,,,kenya ni afrika tu rushwa iko palepale
 
Ni mawazo yake, na ana haki ya kutoa yaliyo moyoni kwake. Ww unakerwa na nini???
Asante mkuu kwa kunisaidia kwa hilo huyo Gang Chomba kweli ni mbulula halafu nimeamini humu jamvini kuna watu ambao ni Uneducated kabisa sasa yeye alitaka niandike nini? ningekuwa Mod ningeku delete
 
sio kila post lazima uchangie...
Sasa huyo Binti hapo kaiba nini mpaka uje na Kanga Begani na kuandika matapishi ulioandika hayo?
Inaonekana una mfahamu na mlikuwa wote acha ushamba mkuu halafu nimeona comments zako nyingi lazima wanajamvi wakuponde kwa kuandika utumbo jirekebishe! kama huyo bint ni ndugu yako mwambie amekula foma na atajamba povu
 
Alikua mtangazaji wa CLOUDS FM, kipindi cha Leo Tena, Kabla hajaajiriwa na Gazeti la Mwananchi....
 
Pole yake,,,,ila naskia watu wa powder wana mtandao mpana sana watamtoa nyavuni,,,,,,kenya ni afrika tu rushwa iko palepale

Nope those that gets to the public domain are not dealt that easily. Labda kuna kashfa zinazogunduliwa na kutatuliwa kichinichini lakini ikishafikia vyombo vya habari sioni rushwa ikiwasaidia.
 
Nami nime mgoogle hayo ni matokeo ya kidato cha sita mnaomfahamu tupieni picha zake tumthaminishe
0589FSARAPHIA P SHIRIMA 18IVGENERAL-S HISTORY-S KISWAHI-S ENGLISH-S

Kumbe unaweza kuwa Mtangazaji wa Radio kwa matokeo ya SSSS form VI !!!!
 
Back
Top Bottom