TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi

#TANZIA:Tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Agnes Almas
@ITVTANZANIA
. R.I.P AGNES ALMASY.

Mungu awape faraja familia yake.
ANGALIZO: Ibada ya kuombea marehemu ni "ibada ya sanamu"
 
Manyumbu yatakuja kusema ni corona
Mimi wa kwanza kusema hivyo. Juzi na mpaka sasa namuuguza mzee wangu ambaye alirudishwa kutoka Muhimbili baada ya kugundulika kuwa ana Covid 19. Aisee huu ugonjwa inasumbua. Kitu kibaya zaidi kwa huu ugonjwa ni kuwa ukimpata mtu basi yale magonjwa ya sijui kupigwa stroke, Sukari, pumu yanakuja kama mshale! Dah nisiseme sana!
 
Dada Ummy upo? Tunateketea. Coronavirus-free country!
CC. Magu.
 
Amefariki dunia
Alikuwa mtangazaji wa ITV
FB_IMG_15991362883863905.jpg
 
Back
Top Bottom