Mtangazaji wa ITV Ufoo Saro yupo wapi?

Ukweli kuhusu kisa Cha huyu dada kinasikitisha sana mzee, Baada ya Muda mrefu, Ni mwezi juzi ndio nilipata a to z juu ya lile tukio Toka kwa watu wa.....siwezi kuelezea kisa chote. Kiufupi Ni Mambo ya usaliti na kwanini mama aliuwawa! Ni sababu alishiriki kwa Namna flani kumkingia kifua binti yake wakati anajihusisha na hiyo dhambi. Na Ile laptop ilikutwa mezani bado Ina play kale kamchezo ambako jamaa alitega camera room.Niishie hapo.
Funguka tuu mkuu, tujuzane haya mambo
 
Fredwaa yupo DW.
Wakuu hilo nalo Muhimu sana kujua watu hawa, Mtu kama Spencer Lameck , mtu kama Ufo Saro.. na mwingine namuongezea hapo, FREDWAA, Ambaye alikuwa Free Africa, Baadaye Clouds. Sasa simsikii kabisa, msaada wakuu
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom