TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

It's undisputable fact that Bob Marley pamoja na kuomba nyimbo zenye ujumbe wa kirasta na kusaidia ukombozi wa Africa na mwafrika ikiwemo kuweka Jamaica kwenye ramani ya dunia kwenye music wa reggae, bado Bob alikuwa na Mambo yake Kama mwanadamu ambayo asingeweza kuwafurahisha kila mtu lakini alifanya alichoweza kwa nafasi yake ikiwemo kutembelea nchinza afrika kwenye mapambano ya kudai Uhuru.

So ukiangalia Kuna kaukweli Ila wao walitegemea awasaidie vipi? Sema jamaa alikuwa Malaya sana kagonga.mademi wa kizungu balaa sijui ana watoto wangapi?
Bob alikua ana sema hawezi mnyima mwanamke furaha ana watoto 16
 
True hata pale East Africa radio aliacha kufanya kazi sababu ya vibali vya kazi hii nchi ni ya hovyo sana mtu kaishi zaidi ya miaka 50 lkn bado wanamletea ugumu, nchi yenyewe masikini sijui tungekua kama US ingekuaje

Walimuonea tu mbona kina Sebbo wanafanya kazi TZ tu kwa muda mrefu.
 
Mzee wa Twelve Tribes stayed to the end in Tz. Mwenzao Kwutenge Sokoni aliamua zamani kurudi Bristol
 
Alikuwa noma maana alifariki akiwa 36 Sasa watoto 16 kwa umri huo alitumia vizuri makende zake angefanikiwa uhai mpaka sasa angekuwa na watoto kama 35
Hata mimi ningekua na pesa ningezaa watoto wengi, legacy ya Bob itadumu kwa mda mrefu angalia Michael Jackson alivyo acha msiba mda si mrefu history yake itafutika
 
Hata mimi ningekua na pesa ningezaa watoto wengi, legacy ya Bob itadumu kwa mda mrefu angalia Michael Jackson alivyo acha msiba mda si mrefu history yake itafutika
Sio rahisi. MJ bado anaongoza kwa umaarufu na kutengeneza pesa kila mwaka licha ya kufa zaidi ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom